Kujenga jamii yenye tabia ya kujikosoa kwa Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujenga jamii yenye tabia ya kujikosoa kwa Tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mhindi1978, Jan 15, 2012.

 1. mhindi1978

  mhindi1978 Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maoni yangu,kuna haja ya kuanzishwa somo toka elimu ya awali ambalo litajenga tabia ya kujiudhuru(kuresign)pale panpokua na utendaji mbovu,ukiukwaji wa misingi,sheria na kanuni za kazi,kuboronga bila kusubiri umma ukushurutishe kufanya hivyo.but also masomo yatakayo jenga commitment kwa watendaji tofuti na hv sasa ambapo kila mtendaji anafanya anavyotaka na hakuna wa kuchukua hatua coz mfumo wote umeoza kila mtu mbadhilifu,mwizi,fisadi,
   
 2. K

  Kanguni Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unasema wakiboronga wajiuzulu kabla ya kusubiri kushurutishwa!... mi nahisi hakuna haja ya kuweka mtaala shuleni wa kufundisha kujiwajibisha kwa sababu 2.
  Kwanza ni kuwa wanajifanya hawaijui dhana hii ya kujiwajibisha wakati si kweli... wanazuga tu.
  Na pili ni kuwa viongozi na wanasiasa wanajua kupima upepo kupredikt outcomes. Iwapo kuboronga ni A, kujiuzulu ni B, kubadilisha section ni C, kushurutishwa na umma kujiuzulu ni D, na kushtakiwa ni E; then kanuni yao inaenda kama ifuatavyo:-

  Ukisha-A usikubali ku-B unless uwe na uhakika wanauwezo wakuku-D au kama wana ujasiri wakuku-E na wakajitokeza kutestify. Ila kelele zikizidi unaweza kumwomba mheshimiwa aku-C, na mambo yatakuwa shwari at last.
  Kwa hiyo mafisadi hawa-B si kwakuwa hawajui kinachowapasa, bali kwa kuwa umma huu wa watanzania wa sasa ni dhaifu ktk kuwa-D na kuwa-E wanao-A. Let's change the way we treat them!!!!!!!!!!!!!!!!!nn:lol:
   
 3. mhindi1978

  mhindi1978 Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanguni nimekulewa,kumbe ndiyo formula ililyotumika kwa Luhanjo na Jairo,issue yao kimya kimya Jairo alipewa likizo yenye malipo na Baba Riz baadae mpaka amestaafu huyoooo.hii itatumaliza viongozi hawana aibu wanavurunda wapo tu na mkuu wa asemi kitu,mfano Issue ya Ngereja na wenzao walivyotafuna posho za kujinufaisha na kupeana pesa hovyo ili kufanikisha bajeti ya wizara ya nishati na madini,JAMII IZINDUKE HII HALI INATAFUNA NCHI,VIONGOZI WAPIME WENYEWE NA WACHUKUE HATUA LAKINI JAMII ISIKAE KIMYA IPIGE KELELE KUWATAKA ViONGOZI WADHALIMU WAJIONDOE WENYEWE KABLA UMMA HAUJAFANYA HIVYO
   
Loading...