Tanesco ni wahujumu uchumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco ni wahujumu uchumi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkombozi, Jan 15, 2012.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu,maeneo ya mbagala na kijichi watu wengi wameunguliwa na vyombo vya ndani kutokama na Tanesco kuzima na kuwasha umeme mara kadhaa jana.Pia pamoja na watu wa maeneo hayo kuonja ukali wa garama za umeme,tangua asubui leo umeme hamna na tanesvo hawahangaiki kabisa.Huu ni uonevu mkubwa na Diwani wetu yuko kimya kabisa.Wananchi wanapanga kuandamana hadi ofisi za tanesco ili umeme uwe unawaka kama masaki na ostabei
   
Loading...