Kulikoni maafisa uhusiano wa makampuni ya simu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni maafisa uhusiano wa makampuni ya simu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jan 15, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kuna kitu nashindwa kuelewa!juu ya hizi nafasi za maafisa uhusiano wa makampuni ya simu hapa nchini! Leo yupo tigo,kesho utasikia yupo airtel,kesho kutwa utasikia yupo voda!ni full kubadilishana wa huku anakwenda kule wa kule anakuja huku.je staili hii hawa wanao graduate kila mwaka wanatafanya nini?wao wanadai maslai!huyu anaenda kule mwenzake alipotoka,na yule anakuja huku,sasa hapo suala la maslai inakuwaje?
   
Loading...