Kilio cha NMB BANK AMBASSADORS

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Bank ya Nmb tunaomba muwape Ambassadors wenu vyeti pindi wanapo maliza Muda wao. Kwani interview nyingi zina demand waoneshe validity ya wao kuwa ma ambassador wenu.pia kwa mfano mi ni mdada si furai navyo enda kwenye mechi. Jaribuni kutu motivate kwa namna ya kidada kwa wale walio na jinsia ya kike na wavulana ndio muwaweke kwenye mechi..swala la vyeti lifanyieni kazi jamani.
To
Aron Nyanda -(nmb bank)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom