Duniani kuna mambo, maiti ampa mimba mfanyakazi wa muchuari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duniani kuna mambo, maiti ampa mimba mfanyakazi wa muchuari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Jan 15, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo linadhaniwa kutokea katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Mourning Glory, nje ya Lexington, Missouri. Polisi wa mjini humo wamemshtaki mama huyo aitwaye Felicity Marmaduke kwa kosa la kunajisi na kuchezea maiti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi, kiungo cha kiume cha mwili wa mtu aliyekufa kilihamasika wakati mwili ukioshwa. Taarifa zinasema, kwa kuwa mwanamama huyo alikuwa peke yake, aliamua kujamiiana na mwili huo.

  Kwa mshangao hata wa mwanamama huyo, maiti huyo alitoa mbegu za kiume. Wiki chache baadaye Bi Marmaduke alijikuta ni mja mzito. Baada ya kumwambia daktari wake mfululizo wa matukio, daktari huyo aliwataarifu polisi.
  Bi Marmaduke alikamatwa na polisi akiwa nyumabni kwake, si mbali sana na mochuari anayofanyia kazi. Katika tukio la kushangaza zaidi, mwanamama huyo amesema anapanga kudai urithi kutoka kwa familia ya mtu huyo aliyekufa.
   
 2. security

  security JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mambo ya kisa na mkasa.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  siamini lbd km hy marehemu alikua amezimia 2
   
 4. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yeye mwache adai urithi wenzie wamdai fidia ya kumdhalilisha maiti wao.
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hi kitu sidhani kama inaukweli!maiti ilipataje hisia,mpaka kufikia hatua za kutoa mbegu?basi huyo mwanaume alikuwa mzima.
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bado kuna maajabu mengi duniani!
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  duniani kuna watu hamnazo sana, yaani hamjui mambo mengi yanayoendelea duniani as if mnaishi mwezini. Hiyo maneno ni kweli kabisa muwe mnasikiliza redio na kuangalia tv jamani, sio kuamka mtu hujui hata kinachoendelea duniani. Hiyo maneno imeongelewa sana, na kama ungekuwa mfuatiliaji mzur wa habari, ungeweza hata jana kuisikia bbc-Salim Kikeke aliiongelea kwa uzir tu jana
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh! Mungu atustiri hivi huyu mama hajaona walio hai mpaka anafanya vituko kama hivyo na maiti haogopi?.....
   
 9. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anything is possible, especially when Al-might God want to prove His existence to sinners and wold at large.The women may be suffering from sexual diseases.Let us all bealive in God and act accordingly.
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  nani kakwambia ulaya wanazikwa wazima wewe? Mhudumu alikuwa anaiandaa maiti, then ghafla 'mashine' ikasimama mhudumu akaona ajihudumie na ki-zygote kika-form. Na yule mama wa mortuary anapanga kwenda mahakamani kudai urithi wa marehemu mumewe aliyekwisha zikwa
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  jamani hiyo kitu ni kweli
   
 12. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mi nasubiri nimuone huyo mtoto wa maiti atakuwaje?
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  very posssible
   
 14. tama

  tama JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  haya natamani nijue hatma ya huyo mama..
   
 15. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  August2011

  Did Felicity Marmaduke really become pregnant after sex with a dead man’s*corpse?
  One of the more interesting stories to have surfaced online in recent days concerns a Missouri woman named Felicity Marmaduke, who allegedly became pregnant after having sex with a dead man’s corpse.

  The story alleges that Marmaduke was bathing the dead man’s body when he experiened a post mortem erection. Marmaduke allegedly then mounted the man and had sex with him, only to be shocked when he experienced a post mortem orgasm and ejaculated. She became pregnant and voila, a dead man is a new father.

  But the story doesn’t really stack up. For one thing, dead people can’t ejaculate. And while the story sounds just about plausible, there’s nothing to support it and there’s no sign that Felicity Marmaduke is a real person. So while it’s a fun-sounding story, it seems this is one of those stories that’s just too good to be true.
  Did Felicity Marmaduke really become pregnant after sex with a dead man's corpse? « 100gf | Politics and Computers
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata kama angekuwa amezimia jamaa asingehamasika na jogoo kuwika
   
 17. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
 18. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Holy crap,how the hell did this happen..
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo bado hamjalisikia kwa wanaume wanaofanya kazi mochwari wanavyowafanyia marehem wa kike wakija kupata nao mimba ndo itafumuka vizuri
   
 20. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,159
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hakuna ajabu hapo!
  Mbona hata huku uswazi ipo! hasa hasa kwa imani yako! Utasikia tokeni marehemu anataka kumuaga mkewe! Wee ndio unaona ajabu? Au!
   
Loading...