’kamwe hatutaingilia utendaji wa mkaguzi mkuu wa serikali-uwe ovyo usiwe ovyo hatutaingilia-jk

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
’KAMWE HATUTAINGILIA UTENDAJI WA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI, KWANI IMEUNDWA KISHERIA, MAMBO YAENDE OVYO YASIENDE OVYO HATUTAWAINGILIA KWANI TUTAKUWA TUNAVUNJA KATIBA, LABDA KUWEPO NA KELEKELE ZA WANANCHI HAPA NDO TUNAWEZA KUINGILIA LAKINI LAZIMA TUAMINIANE’’ haya ni maneno ya rais wa jamhuri wa tanzania aliyoyatoa alipokuwa nafungua jengo la mkaguzi na si mdhibiti wa serikali tawi la morogoro, nimeshtuka sana kusikia statement kama hii, nimeuzunika tena, kwa nini tumepewa adhabu ya kupewa mtu kama huyu asiyejua majuku yake, mtu akiwania urais huwa hapewi job discription, inakuwaje haelewi maana ya usimamizi, haelewi roles zake au ndo siasa—mungu tusaidie

RIP-Regia Mtemwa
 
Back
Top Bottom