Sala maalum kwa ajili ya dadaetu regia;kama member naomba tusali kwa ajili ya familia ya mtema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala maalum kwa ajili ya dadaetu regia;kama member naomba tusali kwa ajili ya familia ya mtema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 16, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,517
  Likes Received: 5,749
  Trophy Points: 280
  yaani naangalia nasikia mtu ananitoa roho jamani inavyouma binti mchanga kichwa origin na si cha kudesa kama vilivyosalia humu Mungu ampe Wepesi huko aliko ni wakati wetu sisi tuliobaki duniani tukihuuzunika tumejiandaaje kuelekea huko alipo dada yetu pengine wamlilia leo usimwone milele lakini sisi imani inatumbia heri wafao katika bwana ,Mchungaji mmoja alienda kwenye msiba wa Jirani yake na baada yahapo akaenda kumzika mdogo wake akaambiwa mbona huu msiba wa mdogo wako ulii sana kama ulipotoka akasema yafuatayo

  ""Mdogo wangu alitengeneza maisha yake mema akiwa duniani naamini nami nitakutana nae lakiniyule jiranyangu ameniuzia kiamba nilimpenda sana sana namlilia si kwa sababu amekufa bali sitomwona tena ..so sisi wenye matumaini najua wana JF tumeumia sana sana ni wakati kuamini dadaetu mpendwa kipenzi yuko kwa baba na soon mmoja wa jf member atamfwata huko aliko atuna budi kumwomba Mungu atupe nguvu hasa wakati wa kuaga jua ndugu watalia sana sana Lakini Yesu atowaacha

  Mzee Estelatus
  Mungu alie hai anawapenda anawajali na anajua maisha yako an mama yanapoelekea ,Naomba nichukue usiku huu kuombea familia yenu hasa wakati huu mgumu wa huzuni sina Budi kuwapa Moyo Mungu anawapenda na tuamini dadaetu kipenzi amefika kwa baba alimleta hapa Duniani .......Alioacha dada yetu atuna budi kuyafwata na kuyaendleza Hekima zake ,Busara zake na mwisho UPENDO wa AGAPE aliokuwa nao ni wakati muhimu wa kuuendeleza naomba ukiwa kama mwana JF chukua dk 2 kusali sala hii kwa ajili ya familia yetu kwa siku ya kesho na mpaka watkapo mlaza dadaetu kwenye nyumba ya milele

  ""MUNGU WETU NA BABAYETU WA MBINGUNI,MUNGU ULIE HAI WEWE NI ALFA NA OMEGA MWANZO NA MWISHO
  TAZA TUNAOMBA WAKATI HUU KAMA NENO LAKO LINALOSEMA WAKUTANIAPO WAWILI WATATU WE UPO PAMOJA NASI
  WAKATIMWINGINE NAOMBA UWAPE NGUVU FAMILIA HII YA MZEE WETU MTEMA AMBAO WAMEMPOTEZA MTOTO WAO KIPENZI
  DADA ETU RAFIKIETU REGIA ,MUNGU BABA ATUNA CHA KUKUPA ILA TUNASEMA AHSANTE KWA KILA JAMBO TUKIAMINI
  WEWE NDIE ULIEMLETA NA WE WE NDIE ULIMECHUKUA TUNAOMBA UWAPE NGUVU FAMILIA HII MARAFIKI JAMAA MAJIRANI NA HATA WALE MAADUI WA REGIA WALIOBAKI DUNIANI TUNAOMBA UWASAMEHE KAMA ULIVYOMSAMEHE DADA ETU HUKO ALIKO
  NAOMBA KWA JINA LA YESU
  NATAKASA VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOENDA KUTUMIAKSIKU YA KESHO
  NATAKASA KILA ADUI ATAKAESOGEA KWA LENGO BAYA
  NINAAMURU NGUVU ZAKO ZIKAPATE KUWALINDA TANGU WATOKAPO TABATA MPAAAKA KARIMJEE KUELEKEA MOROGORO WASAIDIE HATA WALE WASIO NA UWEZO LAKINI WALITAMANI KWENDA KUMUAGA DADAETU HUKO ALIKO MWENYEZZI MUNGU TUNAOMBA UWAPE NGUVU ,KAMA WAAMINI NASI TUSEME

  AMENIIIIIIIIIIIIIIII
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Amen !
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Kweli wakati wa majonzi busara huchanua...sala uliyotuongoza na iwe nuru ikumulikie nawe...
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aksante kwa sala nzuri PDiddy!
  Tuliopo bado huku juu na tuchote Busara hapo!
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  amen mungu ni mjuvi wa yote anajua mahali panapomfaa regia
   
 6. K

  Kolero JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ameeeeeeeeeeen, asante baba wa mbinguni kwa kutusikia!
   
Loading...