Wapiga kelele hii inawahusu!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wale watu
watatu waliokamatwa
jumatano ya tarehe 11 jan pale UDSM, jana
wamepandishwa kizimbani
kwa kosa la "kupiga kelele"
na "kufanya
fujo".....mwenye kuijua
sheria ya kuzuia kupiga
kelele naomba ufafanuzi,
pia fujo haziwi fujo mpaka
zioneshwe impact za hizo
zinazoitwa fujo. Tafakari.
 
Back
Top Bottom