Posho ni tamu na kodi ni chungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho ni tamu na kodi ni chungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sungurampole, Jan 17, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  HATA MIMI NINGEPENDA NIPATE POSHO NYINGI IWEZEKANAVYO
  NA
  KULIPA KODI KIDOGO IWEZEKANAVYO – HUU NDIYO UBINADAMU!!

  Hivyo basi si vyema kumwachia mlipwa posho kuamua alipwe ngapi na mlipa kodi alipe ngapi. Je, hili tumelizingatia katika mijadala yetu juu ya posho na kodi?
  Naamini tukiongeza ukweli huu katika tafakari zetu huenda tutakuja na hoja muafaka zaidi na hata kupunguza lawama hapa na pale.

  Nawasilisha
   
 2. M

  MPENDA KWELI New Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asili ya mwanadamu ni uchoyo,mimi kwanza,tukiacha umimi na kuangalia wengine pia tutafika tuendako.
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Na POSHO hutokana na KODI.......wengi walipe KODI wachache walipwe POSHO
   
Loading...