Chadema kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kwa hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Jan 17, 2012.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi binafsi nimeguswa na msiba wa Mbunge Regia. Lakini nilipatwa na mshituko niliposikia alikuwa akiendesha yeye mwenye kwa hii barabara ya Morogoro kwenda Morogoro. Kunahitajika uzoefu humu barabarani jinsi ya kuovertake. Nadhani imefika wakati CDM watumie madereva ili angalau kuepusha haya majanga pia ukiwa na dereva unaweza kumcontrol na kumwambia hapa usiovertake au hapa punguza mwendo. Lakini pia unaweza kuwa na usingizi kuwa na mawazo kuwa na uchovu wa kazi nyingi. Ni mtazamo wangu tu.

  Kama inawezekana walifanyie kazi hili swala tuache kubana sana matumizi.
   
 2. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Ajali haina kinga, but kwa ushauri wako ni dhahiri kuwa we sio GREAT THINKER' mayb umepotea njia humu jf bkoz unasema eti cdm wanabana ruzuku. Enewei unaonekana ni m2 mfuja mali na hata kama ukiwa kiongozi ni wazi kwamba utaweza ku2mia hata ruzuku ya chama kwa kununua kitimoto. RIP. Regia Mtema.
   
 4. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  kwani alikuwa anaendesha gari la kibunge?
   
Loading...