Ungempa mawazo gani huyu mzee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungempa mawazo gani huyu mzee

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FELIPE, Jan 17, 2012.

 1. F

  FELIPE Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Wiki iliyopita mimi na rafiki yangu tumepelekwa na mzee mmoja eneo la kisasa, Dodoma kutuonyesha viwanja vyake viwili anavyoviuza, sababu kubwa ya kuviuza viwanja hivo ni kwa ajiri ya kupata ada ya watoto wake wawili ambao wamekosa mikopo chuoni,amejikusanya lakin pesa haijatosha. Wakati tunatoka viwanjani huko nikawa nawaza: hivi huyu mzee anauza assets zake zote ili wanawe wasome , baada ya miaka 3 wakimaliza chuo alafu wakakosa cha kufanya kama graduates wengi walivo sasa, huyu mzee uzee wake utakuwaje? Nashawishika kumshauri huyu mzee afanye vingine vyote lakin si kuuza asset zake na kuinvest ktk elimu. Azitunze asset alizo nazo kisha atawalithisha.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Napita hapa kwa kasi sana na sigeuki nyuma
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkopeshe cash yako awapeleke watoto shule!

  Elimu ni ghali!
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  kwani elimu sio asset............? warthi nini tena hao watoto baada ya kupata elimu...?
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hahahahaa! siku zote wanasema ushauri ni wakuutafakari na sio ukishauriwa nawe unakurupuka unaweza kuta mtazamo wa mshauri wako ukawa hauna msaada wowote
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  we unataka watoto warithishwe viwanja? Ili iweje?
   
Loading...