Kundi la wahuni mitaa ya Mabibo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kundi la wahuni mitaa ya Mabibo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katavi, Jan 15, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuna kundi la vijana ambao inasemekana wametoka mpirani mitaa ya relini(mwananchi), wanapiga watu na kupora vitu. Kuanzia relini hadi huku mabibo mwisho watu wamelizwa sana yapata dakika 15 zilizopita. Mimi nimechaniwa suruali na laptop yangu wamechukuwa, nimebakiwa na hii simu tu. Wenyeji wanasema ni kawaida ya hawa vijana kila wanapotoka mpirani kufanya hivi vitendo!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  pole sana
   
 3. SAMMY DANNY

  SAMMY DANNY Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni sana je! la polisi halina taarifa hiyo?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Polisi watakuwa wana taarifa, maana kuna mzee mmoja baada ya kukabwa na kuchanwachanwa na wembe na kuporwa pesa na simu alikimbilia kituoni kuomba silaha akaambiwa hakuna. Ni mwanajeshi mstaafu!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, ndio nagundua hivi sasa nimechanwa mkononi na wembe!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lile jeshi la polisisisiem hawapo?

  Ama wanasubiria maandamano ya CDM!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ni zile AJIRA ZA KIKWETE...
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Aisee nina usongo na hao....wacha tu kwa sababu ya mcba,vinginevyo pangechimbika...pole mkuu
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pachimbike wapi mkuu na watu ndo washajiajiri? utaadhirika,kimbiza bawa lako tu maeneo kama hayo!
   
 10. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Pole sana, Mungu atusaidie. Sasa wembe moja kuchana watu wengi si ndio kuambukizana?
   
 11. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wananchi inabidi tumiliki silaha .... mkuu katavi pole sana, ila ni muhimu kwako na familia yak kumiliki silaha ya moto. Hata huku ambapo polisi huja baada ya dakika tatu, familia karibu zote zina silaha ya moto .... ndiyo maisha hayo!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa inabidi kumiliki silaha kwa jinsi hawa jamaa wanavyotufanyia!
   
 13. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Pole sana kaka,
  Hiz ni zile ajira milion 1 alizozisema JK
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asante sana kaka, inawezekana ndio hizo ajira!
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280

  pole sana kamanda kuna siku nilikutana na kundi kama hili vingunguti lilivamia sana watu na kupora kwa mtindo huo huo, yani ilibidi nipande gari ya posta bila kupenda. hawa vijana hawa ni hatari sana.
  :scared:​
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  kizazi cha jk hiki na ujasiriamali
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Dah! pole kaka hawa jamaa wanarudisha watu nyuma kimaendeleo
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawa vijana ni hatari tena wanatembea kwa makundi!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Pale relini (mwananchi) wamemvamia jamaa wa bodaboda na kumpa kipigo, kisha wakanyofoa vifaa vya bodaboda vinavyoweza kubebeka kirahisi....inasikitisha!
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ujasiriamali wa namna hiyo haufai!
   
Loading...