Gzt Anika Ukweli :Gzt Mpya linatoka Kesho usikose! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gzt Anika Ukweli :Gzt Mpya linatoka Kesho usikose!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Jan 18, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wana Jf Kesho kuna gzt mpya linaitwa Aika Ukweli Saut ya Wanyonge.Hili gzt litaanza kutoka Alhamisi Kesho?
   
 2. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nilivyoona kwenye kichwa cha habari neno 'gazeti mpya' nikajua bahati mbaya ulimi umeteleza. Lakini si mbaya, ni kama Kenya vile...Tuna hamu sana kupata habari mpya motomoto. Vipi kuhusu safu ya wahariri? Maana magazeti ya siku hizi ni kama hayana jipya kwani wahusika ni walewale.
   
 3. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kiswahili ovyo,andika vitu vya kueleweka,
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  gazeti linaitwa AIKA,la kina mangi nini
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  labda ndio anamaanisha hivyoo Aika wa Ukweli
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwenye rangi hapo unamaanisha nini hapo mkuu?
   
 7. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama mtu utakuwa na hasira kiasi gani ni lazima utacheka tu, inaonyesha jamaa alivyopata habari ya ujio wa gazeti jipya akawa na kiherehere cha kuwa wa kwanza kuripoti.
   
 8. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Huyu kama ni mwandishi na anatangaza gazeti hilo kwanza yeye arudi class ajifunze maadili ya kazi yake kama muelimishaji wa jamii. ataharibu lugha yetu nzuri.
   
 9. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Marekebisho.Gzt linaitwa Anika Ukweli Sauti Ya Wanyonge
   
 10. l

  luckman JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nadhani ni anika ukweli na gzt anamaanisha gazeti!
   
 11. l

  luckman JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Jina la gazeti lakini je jina litatendewa haki?what if soon linakuwa prooved wrong litaitwa anika ukweli? Kuna majina mengine ni mazito sana kuyatumia hasa katika mazingira yetu ya kitanzania, nchi ya chuki, fitina, majambazi wala rushwa, wabinafsi, wezi, matapeli, mbayuwayu, wanafiki nk.
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu
  unatuuliza? ama unatuletea habari?

  kama unatuuliza basi mie sijui
  kama ni habari haya twashukuru
   
 13. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Wasi wasi wangu lisije kuwa la hawa watu wanaokwenda makanisani kujisafisha na sas wanakuja na mbinu mpya kwenye magazeti. Halafu jinsi ya huyu bwana alivyoleta hili swala jamvini naona sion njia nzuri ya kutoa taarifa..Inaonenaka ana hisa pale
   
Loading...