swala la umeme kupanda bei tunaomba ruzuku kwenye bei ya umeme. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swala la umeme kupanda bei tunaomba ruzuku kwenye bei ya umeme.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kadeti, Jan 17, 2012.

 1. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 491
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  nasikitika kuona wanaharakati kukaa kimya uku bei ya umeme ikipanda juu,nilithani sasa na sie watanzania tuanze kudai punguzo la bei ya umeme badala ya wao kuongeza bei! basi km ni hivyo basi tudai ruzuku iwekwe km si kuongezwa kwenye iyo bei ya umeme kusudi angalau tupunguze japo kidogo ugumu wa maisha. kwani tuendako tutalaumiana wananchi na serikali uku mtaani bila umeme mambo ayaendi, na kupanda kwa bei ya umeme vitu pia vinapanda juu yaani mfumuko wa bei,sasa linashindikana wenzetu wanaigeria wameweza kwa stail moja tu.......! msisingizie mafuta.
   
 2. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 491
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wanaharakati kimya kulikoni?
   
 3. E

  Etairo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuomba kuna mawili kupewa au kunyimwa. Tatizo letu sisi Wa TZ tunaomba hata haki zetu. Haki inatakwa haiombwi. Tuendelee kuomba kama vile tunaomba pepo kwa Mungu halafu uone kama mafisadi watakupa. Haki Haiombwi inatakwa. Ebu tujifunze kutaka haki sio kuomba. Tukitaka haki tutapewa kuliko kuomba
   
 4. E

  Etairo JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wafanyeje hao wanaharakati? Kila mhusika (mtumiaji wa huduma inayotokana na kutumika kwa nguvu za umeme ni mwanaharakati -tuamuke wa TZ. Mambo hayaendi bila kusukumwa. Hatuna wanaharakati wa kweli hapa kwetu -wanalinda ofisi zao na misaada kuoka kwa wafadhili. Ukiwategemea hao utakoma
   
Loading...