CCM Kuongoza Mazishi ya Regia Mtema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kuongoza Mazishi ya Regia Mtema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Jan 16, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Baada ya Msiba wa Regia Mtema Delegation yote ya serikali (Rais, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na spika) picha zinajionesha
  ilikimbilia msibani hii ilikuwa furusa nzuri serikali kujitakasa kwa wananchi ambao kwa sasa wana maisha magumu

  Huu msiba umekuwa lulu kwa serikali kuepuka hasira za wananchi baada ya kuwalazimisha kulipa DENI la dowans bila kutaka kuanzania 15.1.2012.

  Akiongea na wanahabari jana Spika wa Bunge Anna Makinda alisema Serikali (Ya CCM ) itaongoza mazishi ya Regia Mtema Mpaka Kilombero
  :ballchain:
  Katibu mwenezi wa Chadema JJ Mnyika naye akiongea na wanahabari alisema baada ya Regia Kuagwa kiselikali pale karimjee mwili utasafirishwa na chadema hadi kilombero


  Sasa Hapa sijaelewa Kwanini wanagombania Maiti...??
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa mafisadi ujanja wao tunao mfukoni!
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Acha kuposha watu wewe
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  R.I.P Regia.
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  R. I. P
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sioni Tatizo kwa kuwa alikuwa ni mbunge wa w-TZ wote na serikali ni ya CCM.tuache kukuza kila jambo jamani.Tuwe tunashirikiana katika mambo ya kitaifa.
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Lakini si alikuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Kupeng'e tunakuheshimu, please acha huu uzushi na insinuations za kuugeuza huu msiba kuwa ni mtaji wa kisiasa.

  Mgombea ndio huwa wa chama cha siasa, akishachaguliwa, anageuka ni mtumishi wa bunge hivyo serikali kuhusika moja kwa moja!.

  Nakuomba usiisingizie CCM kama chama, bali serikali kama serikali ndio inahusika moja kwa moja kwa tukio la kesho pale Karimjee, kwa vile ni serikali ya CCM, uhusika wake sio wa kichama bali ni kiserekali!.

  Kwa maoni yangu msiba huu umeleta upendo, mshikamano na ushirikiano wa karibu baina ya vyama hasimu kisiasa kwa viongozi waliosusiana muda mrefu kusalimiana na kukaa meza moja ambalo ni jambo jema kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu!.
  RIP Regia Mtema, asante kwa kutuachia upendo na mshikamano huu!.
  Pasco.
   
 9. mohamed Ali

  mohamed Ali Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha fitina na chuki hizo wewe msiba si siasa hapa duniani tunapita tu hata wewe utakufa iko siko kama si leo kesho wacha kuchochoa mambo yalokuwa hayana msingi katika jamii
   
 10. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa marehemu Regia Mtema alikuwa mbunge wa kitaifa Tanzania toka CHADEMA wala si mbunge wa CCM. Wacha kuchanganya mambo wewe kama CCM wanapenda wabunge wa upinzani wampe David Kafulila aliyetemwa na NCCR ubunge kwenye CCM basi kieleweke!!!!!!!

   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na mimi nakuheshimu sana Pasco

  We usifanye msiba huu kuwa mambo ya bahasha

  Nini kilitokea wakati wa kudai katiba mpya? nini kilitokea wakati wa kupinga ufisadi?

  Jiulize mara mbili utapata jibu...................:A S embarassed:
   
 12. GeJo

  GeJo JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1,716
  Likes Received: 12,526
  Trophy Points: 280
  Tofautisha Chama na Serikali, Regia alikuwa mtumishi wa Serikali Kama mbunge. Kwa hiyo Serikali Ina wajibu wa kugharamia huu msiba. Na Kama mwanachama wa CHADEMA Chama chake pia lazima kihusike.

  R.I.P Regia.
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mkimaliza nitarudi kuwapa jibu!
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  CCM ni chama Tawala hivyo kina majukumu ya kuhakikisha kuwa MAREHEMU anapata maziko yanayostahili
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Pasco naomba usiwasemee watu kama wewe unamfahamu Kupeng'e na kumuheshimu ni wewe siyo wote.
   
 16. doup

  doup JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kwanza ilitakiwa Mafisad wote (=CCM) wapigwe marufuku kukanyaga pale msibani, wawape wafiwa faragha na muda wakuomboleza kupotelewa na mpendwa wao, walie watoe machungu ya mioyoni mwani mwao na si kupelekewa Ving'ora na wanausalama wa sisiemu.

  Wanafki wakubwa hawa hawana lolote, zaidi ya kuuza sura.

  RIP - Regia
   
 17. doup

  doup JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  nafikiri kina lazimisha
   
 18. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu wote ni unafikfi. Mnamdanganya nani? Serkiali inayoendesha nchi kinafiki hhaitakwepa hasira ya Mungu juu ya mahdambi yanayoangamiza taifa; UWT ndiyo mtabeba lawama!.Sasa hivi furahini tu lakini siku yenu imekwisha kuwekwa mbinguni,....
   
 19. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hawajamaa wa kijani wanatafuta huruma za wananchi lakini wananchi tushawasomaaa! Walitaka kulipa dowans wananchi kupitia cdm wakakataa sasa mameamua kulipa kinyemela kwa kuongeza bei ya umeme!!!! Shame on them!!

   
Loading...