TANESCO wanaboa ile mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO wanaboa ile mbaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukolo, Jan 17, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wanajf, poleni sana kwa msiba wa mwanajf mwenzetu na mbunge Regia Mtema (RIP).
  Pamoja na majonzi tuliyonayo, napenda niwasilishe sikitiko langu juu ya huduma za Tanesco. Tuliambiwa mgao umekwisha, lakini kila siku umeme unakatwa saa mbili usiku au siku nzima. Najiuliza mabwawa hayajajaa? Hivi kwanini hili shirika lisifutwe tu ili tuanzishe mamlaka itakayosimamia utoaji wa umeme kupitia mashirika binafsi? Kwangu mimi Tanesco ni moja ya vyanzo vikuu vya umaskini wa Tanzania.
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiki kilio kimesha zoeleka mkuu hakuna namna maana wahusika wako likizo
   
 3. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu hakika umenena :A S thumbs_up: Tanesco ni moja ya chanzo kikubwa cha umaskini wa Bongo.
   
Loading...