Kunauhalali wa mtumishi anayeajiriwa halmashauli kulipwa pesa ya kusafilishia mizigo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunauhalali wa mtumishi anayeajiriwa halmashauli kulipwa pesa ya kusafilishia mizigo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vitalino mlelwa, Jan 18, 2012.

 1. V

  Vitalino mlelwa Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habarini wana JF Mimi ni mwajiriwa katika moja ya halwashauli kwenye hii halmashauli kila mtu anayeomba kupewa pesa ya kusafilishia mizigo anajibiwa kuwa labda apewe gari sasa kwakuwa naamini utawala bora ni ule utawala unaozingatia shelia na kwakuwa halmashauli nyingi watu wanalipwa naomba kuuliza wana JF Kwa wenye data na hili ni shelia gani inayo mtaka mwajiri amlipe mwajiriwa pesa ya kusafilishia mizigo.
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwa msaada zaidi mwombe mwajiri wako akupe waraka wa mwezi wa nne mwaka jana haki zote zimeainishwa au standing order ni haki yako kuwa nayo wameelekeza ambapo kwa sasa wanalipa 1000 times km ulizotoka (nenda tanroad wakupe barua ya uthibitisho wa umbali) times tan tatu za mizigo ukizubaa wajanja wanazikamua wanataka kukukatisha tamaa.waambie upo tayari wakupe gari uone watakavyojikanyaga waambie utaenda mbele zaidi hadi kwa waziri wa tamisemi kwa msaada wa namba za simu za waziri ukitaka nitakupa .unapomwamisha mtu lazima uwe umeandaa maslahi yote au kumwajili tulisumbuliwa hivyohivyo tulitia msimamo tukapewa ndani ya wiki moja
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ukishakuwa mtumishi wa serikali hata binafsi sheria haibagui
  soma sheria ya kazi na mahusiano kazini
  na kama alivoainisha ma doudou.
  una haki ya kupewa hizo fedha kama watakusafirishia mizigo sio mbaya
  na pia kama ww una gari unapaswa kulipwa na hilo gari lako pia
   
Loading...