naomba kuuliza ili mtu apate lessen ya udereva wa gari anatakiwa awe na sifa zipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba kuuliza ili mtu apate lessen ya udereva wa gari anatakiwa awe na sifa zipi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Jan 17, 2012.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu katika jf. naombeni kuelimishwa. ili mtu aweze kupewa lessen ya kuendesha gari TZ anatakiwa awe na sifa zipi. tafadhali naomba kujulishwa!
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  1) awe anazijua vizuri sheria za usalama barabarani (2) awe na akili timamu (3).....
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  haaaaa!
   
 4. b

  binti ashura Senior Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  madereva wa daladala za mitaani kwetu asilimia kubwa hawajafikia umri huo hapo inakuwaje? ofisi nyingi watu huwa wanakwenda kuomba kazi ya udereva wakiwa wanaleseni tu wala hawana magari hapo unasemaje! ubaguzi wa aina yoyote ukiwemo ubaguzi wa kijinsia ni kosa kubwa na linakuwa linakiuka katiba unataka kunambia katiba ya hapa kwetu tanzania inajipinga kiasi hicho!. jambo la muhimu hapa ni kumsaidia muuliza swali, lakini siyo kuandika Frustration zetu hapa!

   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Miaka kuanzia 18
  Akili timamu
  physically fit(unakwenda hospital kupima kama unakizi vigezo vya kumudu kuendesha)
  upitie mafunzo ya udereva

  Mengineyo yatatokana na niliyoeleza
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukitaka leseni mpya ni sharti utimize mambo yafuatayo. Kwa leseni Class D, vigezo siyo vikali kuliko kuanzia class C.

  1. Unatakiwa uwe na TIN No. Kama huna utaenda TRA kufungua ni bure.
  2. Unatakiwa uwe na leseni aidha F (Lena) au ya za zamani ambayo utakuwa unaibadilisha.
  3. Tshs 40,000.00 kwa ajili ya malipo ya leseni hiyo.
  4. Vyeti vya chuo ulichosoma hasa kama unataka class C, maana ni lazima uende chuo cha usafirishaji au VETA.
  Uwe tayari kufanyiwa majaribio hasa kama unataka Class C.

   
 7. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Na uwe CCM coz wana-CDM wngi uwa hatuwaamini kama kwl wapo sawa upstair.
  Ukienda na kadi ya CCM trafiki,nayo ni kipaombele.
   
 8. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nenda veta utapewa utaratibu mzima
   
 9. L

  Lung'wando Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Andaa na pesa ya Rushwa.
   
Loading...