Blog ni yake kwahiyo ana haki ya kuweka anachotaka kwa kiasi anachotaka. Besides, hata angejaza blog nzima habari ya Regia nini kingebadilika?
Ni kweli NN alitakaje ili aone. Wakati mwingine tusipende sononeka kama mtoto aliyepokonywa peremende. Kama hakuandika ni kivyake, jamani huu msiba si wa mmoja ni wetu sote ile kama fulani katika msiba yeye alifata pombe akitegemea ni pombe mwache anywe. Si wote watalia kama unavyolia wewe. Kila mtu ama chombo kina uhuru na chombo chake cha habari. Ndio maana ata wale wengine walidiriki kuandiaka mambo ya kugombea urais kupitia CDM kwa siku ambayo baadhi ya magazeti yalizungumzia kifo cha kijana na mpiganaji mwenye damu changa na nafikiri ni tishio kwa vyama vingine REM. Please let her soul RIPWewe ulitaka Michuzi afanye nini ili uone kuwa kaipa habari uzito unaostahili kwa maoni yako?
Kwa kweli blog ya Issa Michuzi MICHUZI haikuipa uzito habari ya msiba wa Shujaa REGIA. Habari za msiba zimekuwa zikiwekwa katikati au mwishoni. Kwa kweli nahisi km hakuipa uzito wowote. Namshauri asiwe mwoga kuripoti habari za Mashujaa wetu km REGIA.

Hii mada ni chuki tu,hakuna ukweli wowote hapo.katika blog zilizorusha picha na matukio kwa uzito ni pamoja na michuzi,labada mleta mada alitaka kingine sio hiki.haya ni majungu.kwa kuwa kila mtu ana tumia net fungueni blog ya michuzi kama hamjakuta picha za kufa kufa mtu kuhusu msiba wa Rejia,tangu nyumbani hadi ifakara.