Inasikitisha Sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inasikitisha Sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiguhu, Jan 17, 2012.

 1. Kiguhu

  Kiguhu Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala la timua timua hapa nchini. Imakuwa kama tz ni nchi imbayo ni tajiri wa wataalamu wakati hata wakologa udongo wa kujengea tuanawapata toka china, Tutafika kweli kwa mtindo huu tukisahau ni gharama gani tumetumia kwa wale tunao watimua na athari za kuwatimua. Je tumelidhika na haya???
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kikwete aje jf tumwambie cha kufanya sio wanamsifia fb hovyo!
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa ni sikio la kufa
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ukicheki wall yake ya FB ilivyojaa micoment ya kumsifu?
  Utasema Rais si ndo huyu? Kumbe daah...
   
 5. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Shida yetu wabongo ni hatufuati sheria zilizowekwa za kumiliki ardhi, mtu anaamua kujichukulia ardhi (mali ya serikali) na kuanza kujenga nyumba/kulima shamba au kumuuzia mwingine kiwanja/shamba bila kufuata taratibu zilizowekwa, baadaye anarudi kulalamikia serikali ati ina timua timua. Tembelea nchi za wenzetu hakuna vitu kama hivi. Kama jangwa lipo, kama limsitu lipo hakuna uvamiaji na kujenga/ kulima ki holela holela
   
Loading...