NANI MWENYE UCHU WA MADARAKA KATI maalim seif na hamad rashid mohamed?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NANI MWENYE UCHU WA MADARAKA KATI maalim seif na hamad rashid mohamed?!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hasan124, Jan 18, 2012.

 1. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwalimu JK Nyerere alithubutu kuachia Uwaziri Mkuu wa Tanganyika na Rashid Kawawa akashikilia wadhifa huo ONLY that mwalimu apate muda wa kujenga na kukiimarisha chama.
  Leo hii Maalim Seif Hamad anahodhi nyadhifa mbili za kiutendaji ambazo ni Ukatibu Mkuu wa Chama na Umakamu wa Kwanza wa Rais, ilhali Hamad Rashid alidiriki kufukuwa na CCM akiwa na wadhifa wa Unaibu Waziri.
  Swali langu Ni nani kati ya hawa mwenye UCHU wa madaraka?!!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wote, isipokuwa mimi tu amabye hata kadi ya CUF sina.
   
Loading...