CCM na zoezi la kujvua magamba

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
1,529
1,114
Wadau, mwenye data aweke hewani, kwa nini zoezi la kujivua magamba la CCM limeyeyuka kama mshumaa na hata mkuu wa kaya na mwenyekiti amenyong'onyea na hataki hata kukumbushia?
 
lowassa=ccm so ukilivua gamba la ccm umeivua ccm na itabaki uchi,..ccm won't let that happen now or anytime soon!!!
 
CCM hakuna wa kumvua gamba mwenzake kwa kifupi CCM ni gamba ambalo limeng'ang'ania kwenye ngozi za watanzania nasasa tumeisha kulivua taratibu maana lilikomaa migongoni mwetu ila 2015 tutalivua rasmi hili gamba
 
Watanzania sasa wajue kirefu cha CCM=Chama Cha Magamba; Kuwa na magamba ni kuwa Fisadi, Mwizi wa mali ya umma, Mbadhirifu, Mvunja katiba na sheria za nchi, Mshirikina (kulindwa na majini), Muuaji (kuuana ni jambo la kawaida=Kolimbalization). Bila sifa hizi huwezi kuwa mwanachama wa sisiemu, Mwongo (maisha bora kwa kila mtz wakati huu ni mwaka wa 6 hayo maisha hayapo na badala yake shida na adha tupu), Mnafiki kujifanya mwema wakati ndiye muuaji na mnyang'anyi wa haki za waTz kwenye chaguzi halali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom