Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Malecela ameungana na watz wengi wanaolaani uandishi mbovu na wenye hila wa gazeti la Jambo leo.Amesikitishwa na kitendo cha gazeti hilo chochezi cha kuandika kuwa Nape alitaka yeye Malecela na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Picha iliyowekwa ktk hili gazeti likionesha mwanaume mmoja makalio yakiwa wazi kabisa haikubaliki! Mamlaka husika tunasubiri "double standard" kwenye hili!! Kama nyie ni waungwana mtutake radhi KESHO!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi ile issue ya saed kubenea kumwagiwa kemikali iliishia wapi? Au ndo kama ya mwakyembe?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Askofu KAKOBE ni mtu ambaye anaonekana kuwa na msimamo apa nchini na msimamo yake mingi imekuwa ikipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana na wale waliomsikia wanafaidika...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Pamoja na kufiwa kwa familia ya sumari.j naambiwa mh wetu rais mtarajiwa edward lowassa nae anahusika na ukoo huo kwa niaba ya wana jf tunakupa pole mkuu mungu akutie nguvu katika wakati huu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JAMANI WANAJAMII HABARI ZENU? MTANISAMEHE, KWANI HII NDIYO THREAD YANGU YA KWANZA LKN INA HABARI NZITO KIDOGO. KUNA NDUGU YANGU ANASOMA DEGREE YA UZAMIVU UJERUMANI KWA USHIRIKIANO WA SERIKALI YA...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Meli ilipakiza watu zaidi ya 2500 Watu 900 waliokolewa Watu 250 walikufa Watu zaidi ya 1300 hawajaonekana mpaka sasa Sos:ch10 habari
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuona video ya gari iliyomuua Regia Mtema gonga hii link hapa chini Huzuni Kubwa: Mh. Regia Mtema hatuko nae tena - YouTube
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Privatus Karugendo JANUARI 14, mwaka huu, ni siku ambayo ajali ya barabarani iliyakatisha maisha ya Regia Mtema, Mbunge wa Vitimaalumu kupitia CHADEMA, ilikuwa ni siku ya kukumbuka kuzaliwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni takribani miezi 6 tangu nilipomuuliza mwenye duka kwa nini hauzi sukari ya nje, 'Brazili' anauza ya Ilowo! Wakati sukari ya TZ ni ghali kuliko ya Nje. Alinijibu kitu ambacho sikukitilia maanani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hakuna sehemu inayotamka rasmi kuwa kiongozi atayewajibishwa au kujiuzulu kwa manufaa ya umma anapoondoka kwenye madaraka ndani ya serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Mwananchi leo limeandika habari inayosema kuwa Dr. Slaa alimkwepa rais JK jana kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema. Kwanza mwandishi anasema ilikuwa nyumbani ambako Dr. Slaa aliamua...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
ndugu zangu mnaopenda kwenda kutafuta maisha botswana fikirieni mara mbili'serikali ya nchi hii imeonyesha wazi haitaki wageni hasa kutoka africa lakini kila siku wamekuwa wakipokea wageni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jamii embu tuhabalishane mapema kama na ndugu yetu baba yetu mh sumari nae tunamuaga huko alikopita dada etu regia tujiandae mapema tunaagaje ofisini ama tumefiwa ama mke anaumwa sana ama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha CCM kimeiagiza serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kutenganisha bizness na siasa akizungumza katika kipindi cha jambo leo tbc1 katibu mwenezi mtetezi wa wanyonge Bw Nape...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Marehemu alikuwa mtu hodari, mchapa kazi, mzalendo, mpenda watu, mtu makini, mpole, mkarimu, mwenye hekimu na busara, mtiifu, mchangamfu, mtanashati......!!!!!!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TUCTA WAMTAKA RAIS KIKWETE KUVUNJA BUNGE CHAMA cha Wafanyakazi nchini (TUCTA), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mdai kwamba limeshindwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Can u all help on what is happening??? 1/4 of graduated got employment from govnt the rest???/
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi juzi yalitokea mafuriko jijini Dar na Serikali imejitahidi kuwatafutia viwanja MABWEPANDE ili wanaokaa mabondeni wakae sehemu salama.Lakini watu waliobomokewa nyumba wakati wa MABOMU YA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimepata hizo taarifa. kama kuna mtu yuko karibu na ilboru atujuze. mimi naweka sawa taarifa nilizonazo.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…