'Sky scraper project' yahamisha wakazi 1000 wa Kaloleni Arusha.

Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
724
621
Wana Jf nimekutana na hii habari nikaona ni hatua nzuri iliyochukuliwa na manispaa ya Arusha kuelekea kwenye miji iliyopangwa na kufanya mji huu kuwa kuvutio cha utalii. Big up kwa uongozi wa jiji !
courtesy by Arusha Times
 
Hata mimi nimepata hizi habari na nimesikia kuna mikono ya kina White hair nao wanata kuwekeza kwenye mradi huo wa kujenga magorofa kama ya kule Dubai! Poleni sana wakazi wa Kaloleni jipangane kuanza kuhamia kule kwa Mromboo bado maeneo yako mengi.
 
Back
Top Bottom