Maandamano kuipinga TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano kuipinga TANESCO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukolo, Jan 20, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wadau, nilishaleta thread hapa kuelezea kero zitokanazo na TANESCO, kwa bahati mbaya sikupata michango ya kutosha, nikaamua kuwatafuta watu nje ya Jamiiforums kuzungumzia kero hizi za TANESCO, kuendeleza mgao wa umeme kimyakimya hata baada ya kututangazia kwamba mgao umekwisha, pia kuwepo kwa maji ya kutosha katika mabwawa yetu. Hapo awali walisingizia mabwawa, leo wanasingizia nini. Huku ukonga tunapata umeme kwa masaa manne hadi matano tu kwa muda wa karibu siku tatu sasa.

  Tunajiuliza, ni kwa vipi tupo kwenye mgao ilihali mvua zinanyesha? Tunajiuliza tena, logic ya kupandisha gharama za umeme ni nini kama umeme wenyewe haupo?

  Tumekaa na wenzangu tukatafakari, tukaona namna pekee iliyobaki ni kuunganisha nguvu za umma, ama kulikataa shirika hili kuendelea kujishughulisha na mambo ya uzalishaji umeme nchini au kumkataa waziri mwenye dhamana na nishati na zaidi sana, kama si huyo basi kumkataa Rais Kikwete ambaye tangu aingie madarakani nchi imekuwa kama yenye mikosi, matatizo juu ya matatizo, hakuna unafuu bali shida tupu. Bado tunatafakari kwa kina na wadau kuona message mhimu ya kubeba katika maandamano yetu.

  Niwaombe wanajamii pia mtupe support hasa ya mawazo juu ya ujumbe tunaopaswa kuubeba katika maandamano iwapo tutafanikiwa kuyaorganize. Dalili zinaonyesha watu wengi sana wanakerwa na huduma hizi mbovu, na wengi wapo tayari kuhudhuria maandamano haya iwapo yatapangwa kufanyika siku isiyo ya kazi.
   
 2. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hongera kwa mipango mizuri mladi muweze kuhamasicha watu wawaunge mkono, tunawatakia mafanikio!!!!!

   
 3. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi badra anajiteteaje tena?
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru sana kwa kututia moyo, but tupeni hoja za kupeleka mbele ya wahusika during maandamano.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unaonyesha umekwisha jitenga kutokana na maelezo yako
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapa issue ni serikali yote kuanzia presidaa mpaka kule chini serikali za mitaa wanatakiwa kujiuzulu tuweke serikali inayoweza kutuongoza na kusimamia sheria kwa wote bila kubagua raia na viongozi wa serikali, nadhani hilo ndilo suala kubwa ambalo hata wenyewe wanajua wameshindwa kuiongoza nchi yetu, pia kwakumalizia tupate viongozi wenye uchungu na nchi yetu pamoja na uzalendo suala ambalo linaonekana viongozi wetu wa sasa hawana
   
Loading...