Waliokufa ktk meli Zanzibar kulipwa Million 10

Watalipwaje kama wameshakufa? Au ndugu za waathirika ndio watakaolipwa?
 
Ndiyo ulijisajili hapa na ukaona namna ya kuweka mada ni hivi siyo?? Wasalimie Mchambawima
 
Watalipwaje kama wameshakufa? Au ndugu za waathirika ndio watakaolipwa?


eti mwenzangu yan m2 afe na alipwe?Au hzo ela ztawekwa juu ya kaburi la muhusika.Nafkiri 2sameheane tu manake stress za maisha znapunguza umakini. MIA
 
ni matokeo ya tume

Yaani Tume iliyoundwa kuchunguyza imekuja na hili tu? Jee wahusika wakuu akiwemo yule waziri wa CUF -- yaani hawatafikishwa mahakamani na kukivaa kitanzi kutikana na upotezaji wa roho za watu elfu mbili waliokufa kwa uzembe wao?

Ama serikali ya CCM kweli. Inaona bora kutumia hela za walipa kodi kuwatuliza wafiwa kuliko kuwawajibisha wahusika! Kulinadana siku zote! CCM ina sera shit kabisa!
 
Nani anawalipa? Insurance? Au serikali inatumia pesa ya walipa kodi kwenye mambo yasiyowahusu?
 
Back
Top Bottom