Hivi kumbe tunalipa Umeme zaidi kuliko migodi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kumbe tunalipa Umeme zaidi kuliko migodi????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bundewe, Jan 17, 2012.

 1. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenzenu taarifa hii ya Tanesco imenishtua usingizini ndo nimegundua kwamba wananachi wa kawaida tunalipia umeme mara mbili zaidi kuliko wawekezaji migodini. Hivi hii ni akili au matope??? Tanesco wake up!!!!! Hao jamaa hawachimbi chumvi ati! What is the rationale???

  "Viwango vipya Katika ongezeko hilo la bei ya umeme ambalo limeanza kutumika Januari 15 mwaka huu, wateja wa hali ya chini wanaotumia chini ya uniti 50 kwa mwezi, wataendelea kulipa Sh60 kwa uniti wakati watumiaji wa majumbani wanaotumia zaidi ya uniti 50, bei hiyo imepanda kutoka Sh195 hadi Sh273 kwa uniti.

  Watumiaji wa kawaida wakiwemo wenye biashara ndogondogo, bei imepanda kutoka Sh157 hadi Sh221 kwa uniti wakati watumiaji umeme mkubwa wa kati, bei imepanda kutoka Sh94 hadi Sh132 kwa uniti, wakati watumiaji umeme mkubwa hasa wenye viwanda na migodi, bei imepanda kutoka Sh84 hadi Sh118 kwa uniti.

   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  pigeni mbizi
   
 3. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli tutapiga mbizi
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Serikali inayoundwa na wafanya biashara haiwezi kuwakumbuka wanyonge.
  Tusipo paza sauti kudai haki yetu tutaishia kulaumu tu.
   
 5. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi huu woga tutaacha lini? Wangekuwa jirani zetu Kenya, kila mtu bila kujali itikadi angekuwa barabarani kupinga ubazazi huu. Serikali lazima ingenywea tu.
   
 6. n

  ngokowalwa Senior Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanadai ni Incentive kwa wawekezaji ili mitaji izidi kumiminika . hivyo kwa sababu kila zuri lina gharama zake wananchi uendeleni kubeba mzigo ili wawekezaji walete mitaji na kutengeneza ajira
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa waTz mnangoja nini hamjifunzi toka kwa wenzenu Nigeria hata kabla hawajamaliza kutangaza mafuta yamepanda bei watu washaingia barabarani, sisi aka tunaishia kulalamika mitaani na kwenye keyboard tu
   
 8. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi nani anahitaji incentive? Ni wawekezaji matajiri migodini au wananchi maskini?
   
Loading...