Nafikiria kuachana na kampuni ya simu TIGO .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafikiria kuachana na kampuni ya simu TIGO ....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkandaboy, Jan 20, 2012.

 1. mkandaboy

  mkandaboy JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wana JF? Naomba ku-share nanyi machungu ambayo TIGO wamekuwa wakinisababishia. Nimekuwa mteja mwaminifu wa kampuni hii tangu mwaka 2000 (enzi hizo ikiitwa BUZZ). Kiukweli nimefurahia sana huduma zao tangu wakati huo mpaka mwaka jana na sasa nafikiria kuchukua maamuzi magumu ya kuachana nao nihamie kwingine. Sababu kubwa ni hizi;
  1. Wamekuwa wakinipora airtime kila mara ikitokea nimeongeza salio na sijalitumia kwa wakati huo. Kwa mfano naweza kuweka salio la sh 2,000/. Baada ya robo saa tu unakuta sh 500/ au zaidi imepungua, bila kupiga simu wala kutuma sms. Au napiga simu dakika nne tu wanachukua sh 1,000/. Ukipiga simu kuuliza wanaku-hold on hata robo saa na mwisho simu inakatika (au labda wanakata-sijui?).
  2.Niliwahi ku-subscribe huduma ya kutumiwa ratiba na matokeo ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu (mfano ya Uingereza, Uhispania). Huduma hiyo nimekuwa nikiipata vizuri. Imefikia wakati sasa nataka kujitoa kwa utaratibu ule ule walionielekeza wakati najiunga lakini wananing'ang'ania mno. Kila nikituma sms ya kujitoa wanaipokea lakini hawatekelezi ombi langu. Nikiwapigia simu yale yale ya kusubirishwa robo saa bila msaada.

  Vipi wana JF wenzangu nanyi mmeshakutana na madhila kama hayo yangu? Kiukweli kabisa nafikiria kuachana na kampuni hii...
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  hamia .....airtel
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nafikiri unachofanya ni kosa sana kwa biashara ya Tigo. Kwani ukiangalia kiundani sana una nia kuuwa biashara zao na kutukuza nyingine ambao ujajipambanua.

  Ushauri wangu.

  Pasi na shaka yoyote paleka malalamiko yako kwenye customer care zao na watatazama katika system zao na kukurudishia kilicho chako.

  Vile vile huko Tanzania kuna TCRA na ukipitia website yao wana kitengo cha kutetea maslahi ya watumiaji wa huduma za simu. Please pitia hapo na weka malalamiko yako watakusaidia.

  Huo ni ushauri wangu nikiangalia mada yako kwa jicho la kiuchumi zaidi.
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huwezi kujitoa mpaka uweke uzi?
  OTIS
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  tigo ni mazoea ndo yanatuweka wasumbuf sana
   
 6. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kujiunga uliomba ushauri?
   
 7. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo la kuchukua airtime tigo wanalo wiki iliyopita nilikatwa 450 kwa siku mbili mfurulizo mpaka nikakosana na dogo nikijua amehamisha salio, alafu ukipiga huduma kwa mteja hawapokei mwisho wanakata 50.
   
 8. mkandaboy

  mkandaboy JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kujiunga sikuomba ushauri, wala hapa leo sijaomba ushauri...Soma text vizuri usikurupuke!!!!!
   
 9. mkandaboy

  mkandaboy JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kujiunga sikuomba ushauri, wala hapa leo sijaomba ushauri,,soma text kwa umakini ndo uchangie
   
 10. s

  sawabho JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hilo huwa linatokea kama umejiunga kutumiwa nyimbo mbali mbali au ratiba za michezo. Kama ulisha jiunga kupata huduma zao, nenda kajitoe vinginevyo wataendela kukata. Kuna Jamaa yangu walikuwa wanamkata hivyo, mpaka alipoenda kuwaona ofisini kwao.
   
 11. mkandaboy

  mkandaboy JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Thanx sawabho kwa ushauri
   
 12. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe,jamaa na ndugu zako wote...
   
 13. E

  Ectoparasite Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi mwenewe leo najitoa..cjui ni cmu hangu vocher haziingiii toka asubuhi..Hapa mjini Arusha..hawa jamaa ni kuachana nao tu..
   
Loading...