Udini sasa unaiangamiza Sekta Binafsi Tanzania, Tulipinge Hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udini sasa unaiangamiza Sekta Binafsi Tanzania, Tulipinge Hili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matola, Jan 20, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Wakuu kuna hii kampuni ya kigeni inaitwa ARAMEX ambayo makao makuu yake ni Amaan Jordan, ilifanya recruitment ya kutoa ajira kwa vijana wa Kitanzania mwishoni mwa mwaka jana after long prosess ya short listed, baada ya kuwashort list wale waliokuwa successfull applicants then waliitwa kwa ajili ya Presentation pale Holiday Inn Hotel.

  sasa basi baada ya hatuwa zote hizo Human Resourse wao anaitwa Hellen Abdallah kutoka Egypty aliwaahidi Applicants wote watapewa majibu kupitia Email zao.

  Mchezo wa kuigiza ukaendelea na kampuni ikaanza kazi rasmi na ofisi zao zinaangaliana na Shoprite KAMATA Nyerere Rd, baada ya kukutana na vijana kadhaa ambao sina shaka naTalent zao kunieleza wametoswa na nikitazama kwa makini wale walioajiliwa hata kwa macho tu vigezo vyao vilivyowapa ajira vinatia mashaka matupu, basi hapo ndipo nilipojipa jukumu la Usalama wa Taifa na kuendesha uchunguzi wangu Binafsi na nilianza kumhoji Dada mmoja wa Kikenya anaitwa Jane ambaye ni Co ordinator wa hiyo kampuni ambaye kampuni yao inaitwa Estie carrie ndio ilipewa jukumu la kurecruite, basi aliyonieleza Jane sikulizika ndipo nikakatuma kainzi kangu ambako kaliniletea ripoti kamili kamiliambayo haina chembe ya shaka.

  Ni kwamba baada ya Kampuni ya Estie carrie kumaliza kazi yao na kurecomend wale ambao walikuwa wana-qualify walichofanya waarabu hawa ni kuupuzaushauri wote wa Estie carrie na kukata majina ya wakristo wote na kigenzo kikawa ni kwa vijana wa kiislam!

  Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone, mimi kama Mzalendo nimetimiza wajibu wangu, kazi kwenu vyombo vinavyohusika kuimulika kampuni hii.
  [​IMG]
   
 2. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  pole kaka, hapo msubiri MS umsikie atakavyotetea
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kachunguze na pale tazara...
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa kampuni hiyo moja ndio unasema udini unatisha TZ????
  REALLY?
   
 5. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo wakristo ndo wamepata kazi?Mx
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mimi hapo sioni tatizo, as long as ni private company, management ina uamuzi wa kuajiri watu inaowataka!
  Ingekuwa ni shirika la Umma au ni ajira serikalini ningekuelewa.
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu/lako ni kuwa udini kwenu ni sawa na Uislamu! Waislamu wamekuwa wakilalamikia sana hizi ajira za upendeleo hasa kwenye taasisi na mashirika ya serikali, jibu lenu ni kuwa mnastahili kwa kuwa mmesoma! Kaangalie pale TIB utadhani ni seminary! Sasa hilo shirika binafsi lina haki kuajiri watakavyo! Acha unafiki kijana.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  I see!! kumbe ndio sababu ya Muslim University ya Morogoro kuajili waislamu watupu? ndio maana OIC inapigiwa upatu kwa kuintatain upumbavu huu!!??
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukitaka unaweza kufanya uchunguzi kwenye makampuni mengine, utapata ukweli wa hii kitu.

  Makampuni yenye haka kamchezo zipo nyimgi tu na ni both sides, kuna wanaoajiri kwa kuangalia uislamu na kuna wanaoajiri kwa kuangalia ukristo na pia kuna wanaoajiri kwa kuangalia uhindi.

  Tukiendelea kuchukulia masihara mambo kama haya ipo siku yatalipuka tu.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo unapoweza kuelewa binadamu aliezaliwa na akili finyu, wakati wenzetu Ujerumani ambalo ni Taifa la kikristo wameanzisha mkakati wa maombi ya kazi zote sasa hurusiwi kuandika jina unachotakiwa nu kutuma maombi yako na cv yako tu ili kuwalinda waislamu Waturuki wasibaguliwe kwenye ajila, wewe bado umevaa koti la udini? kumbe ndio maana wadini wote walikuwa wanadhani Halima mdee ni muislamu, kwahiyo alipata kura za Bakwata kwa ajili ya jina la Halima!! kumbe mwenzenu ni mkristo.
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Kuna watu wamepewa mafundisho potofu kwamba wamekuwa wakibaguliwa katika elimu na ajira. Na wao bila kutafakari kwa kina sababu yake na kuiondosha, wamebaki kulalamika pasipo kuchukua hatua stahiki za kujikwamua na unyonge huo.

  Kwahiyo wanaona kwamba sasa ni wakati wao kujaribu kujaza hilo gap lililopo na kusahau kwamba huwezi kuleta usawa kwa kuwaumiza wengine.
   
 12. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ulitaka chuo cha kiislamu kiajiri wakristo?

  Umeshawahi kuona kanisani anaajiriwa gardener mwislamu?

  Think twice!
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa akili yako unaona kampuni binafsi ziruhusiwe kuwabagua watu kwa misingi ya dini? hiyo akili au matope?
  Kwani kampuni binafsi hazihudumii umma? Kama walitaka kuajiri watu wa dini yao kwanini wasitangaze mapema kabisa kwamba pre requisite ya applicant ni uislamu, kwanini wawapotezee watu rasilimali zao kwa jambo ambalo wangeweza kujiepusha nalo?
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hii ndio level ya uelewa wako mungu akuhurumie ili akupunguze Zigo la ujinga, hapa mtaani ninakoishi kuna kanisa la Lutheran na walimu wa kwaya wanaowafundisha kupiga magita wale wanakwaya ni wanamuziki na ni waislamu wote wawili na wanalipwa. by the way hivi Muslim University inafundisha uislamu tu au kuna masomo mengine ambayo yanahitaji wataalam? Think big young boy!
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo unataka kusema hiyo kampuni ni mali ya msikiti au ndo msikiti wenyewe?
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mimi naona huko kwingine mnabwabwaja kuhusu udini.Nendeni mkajionee udini wa kutisha NSSF ambako CEO, DR RAMADHAN DAU anauengineer bila hata aibu.
   
 17. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni mpya!!!!!!!!!
  Toka lini waislamu wakaimba kwaya au kufudisha kupiga gitaa kanisani?

  Hatudanganyiki!!!!
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo unamaanisha na sisi tuwatimue waislam ktk vyuo na shule zetu?
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Uko sahihi mkuu, kwa sababu mmoja kati ya hawa vijana waliobaguliwa ni mkazi wa Arusha na alikuwa akija kwenye appointment zote anafikia kwangu na ninamsecure kwa all daily nourishment u can imagine kama qualification zilikuwa ni kuwa kijana wa kiislamu si wangesema watu waelewe? mbona hakuna anaelalamikia zile ajila za Umra kwenda kuwa mpagazi wa mahujaji kule Makka?
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi sijaelewa kabisa hii hadithi yake, walioajiriwa Wakristo watupu au Waislaam watupu au Wasio na dini?

  Kama kuna aliye elewa anifahamishe.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...