Hii mvua tena imetoka wapi..dar

COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,006
706
habari za asubuhi wana jf,nikiwa maeneo ya ubungo ghafla bini vuu linanyesha bonge la mvua,tumuombe mungu isizidi na kuleta mafuriko
 
Huku sasa ndio kumchanganya Mungu huku.
Wengine tunaomba inyeshe ili Mazao yakue Mashambani, wengine mnaomba vingine.
 
MUNGU fanya kazi yako

kadri uwezavyo Bwana

wetu,kwn sisi wanadamu

haturidhiki na chochote!
 
habari za asubuhi wana JF!
Mm sikatai isinyeshe ila tumuombe Mungu atujalie inyeshe mvua ya kawaida isiwe na madhara kama yaliyopita.
Eee mwenyezi Mungu Tusaidie.
 
Hama kutoka huko bondeni, si umepewa uwanja Mabwepande? Tunaomba mvua inyeshe ili mabwawa yakuzalisha umeme yajae maji bei ya umeme ipungue.
 
Kwani mungu ndiyo anatengeneza mvua?
 
Hama kutoka huko bondeni, si umepewa uwanja Mabwepande? Tunaomba mvua inyeshe ili mabwawa yakuzalisha umeme yajae maji bei ya umeme ipungue.

kwani hayo mabwawa yako dar...!!tunaomba mvua inyeshe ila ikizidi ni tatizo,unaweza kukuta nyumba imetembea mkuu
 
habari za asubuhi wana JF!
Mm sikatai isinyeshe ila tumuombe Mungu atujalie inyeshe mvua ya kawaida isiwe na madhara kama yaliyopita.
Eee mwenyezi Mungu Tusaidie.

Mungu kasikia kilio chetu,maana hali ni shwari wakazi wa jangwani kama kawa bata kwenda mbele
 
Back
Top Bottom