Kwa nini Serikali imeshindwa kuwalipa waathirika wa MABOMU wa GONGO LA MBOTO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Serikali imeshindwa kuwalipa waathirika wa MABOMU wa GONGO LA MBOTO?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mutta, Jan 20, 2012.

 1. Mutta

  Mutta Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni zaidi ya miezi 11 tangu milipuko ya mabomu ya GONGOLAMBOTO itokee.Lakini serikali haijawajengea nyumba waathirika wala wale WALIOPOTEZA VIUNGO kwa uzembe wa Serikali.Cha kushangaza wamepewa viwanja wa mafuriko kabla watu wa Gongolamboto kupata viwanja na kujengewa nyumba.Cha kujiuliza MABWEPANDE imejulikana baada ya mafuriko?Watu waliopoteza viungo wao wanasubiri nini huku wakiteseka? Naomba SERIKALI YA KIKWETE imalizane na watu wa MABOMU kwanza.Naamini peza zilizochangwa na taasisi mbalimbali zipo.WAHURUMIENI watu hao.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,419
  Likes Received: 19,726
  Trophy Points: 280
 3. Mutta

  Mutta Senior Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona sijakuelewa? Hawakufanyaje?
   
 4. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mutta!
  Kwa nini walipwe jaribu just take time and read. Nimekwisha sema " A leader is a mirror image of the people he is leading" kwa kuwa I have also stressed that "President Jakaya Mrisho Kikwete is not serious" by default "Tanzanians are not serious " . Utawalipaje watu ambao hawako serious. Kwa hiyo hawakulipa kwa sababu ni walipoichagua CCM then wakubali matokeo. Mbagala hawakulipwa na bado wakaichagua CCM then kutokulipwa sawa tu mbona aliyelipua maghala hayo Shimbo bado yupo anapeta? Kalakabaho tumieni mtaji wa maskini Kama alivyosema Mkapa!
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,603
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Sahihisho mkuu:- KWA NINI SERIKALI HAITAKI KUWALIPA WAATHIRIKA WA MABOMU WA GONGO LA MBOTO?
   
Loading...