Shibuda kwenye mazishi ya rejia alikuwepo

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Wana jf n kama sikumuona Shibuda popote kwenye msiba wa rejia je kuna mwenye data
 
Wana jf n kama sikumuona Shibuda popote kwenye msiba wa rejia je kuna mwenye data
taratibu kiongozi -- mbona Lissu hakuwepo pia. Msiba si mkutano wa wabunge bali mtu ana hiari kuhudhuria au kutohudhuria.
 
Unaweza kututajia wote waliohudhuria? Wewe mwenyewe ulikuwepo au hukumwona kwenye picha zilizotumwa humu? Sidhani kama tunstahili kufika hapa tulipofikia. Shibuda ni Mbunge kama wabunge wengine jamani. Simkubali kabisa huyu jamaa lakini kwenye hili ......
 
Huyu hapa na neck brace

attachment.php
 
Wana jf n kama sikumuona Shibuda popote kwenye msiba wa rejia je kuna mwenye data

Achana na Shibuda kwani huyo kawa sawa na Jini lisilofugika hata ukilikamata ukalitia ndani ya chupa na kufunga kizibo basi pindi umalizapo kazi hiyo utakuta kanyoosha kidole juu nje ya mfuniko akiomba roho yako..la hivyo la nini bwana?

 
Hiyo picha aliyeweka kapatia manake zengwe lililokuwa linataka kutengenezwa limezimwa, wafike watu wa CCM asifike yeye du JF imevamiwa na watu wasio taka kuuliza au kudurusu. Ukiwa na hisia tu unaanzisha thread.
 
Back
Top Bottom