Asilimia kubwa ya MACHANGUDOA ni WASOMI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia kubwa ya MACHANGUDOA ni WASOMI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yonjolo, Jan 20, 2012.

 1. Yonjolo

  Yonjolo Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli:
  Je, hii inaleta tafsiri gani kwa next generation? Pia, kama tutapata %kubwa ya viongozi serikalini, pata picha Bunge litakuwaje? Maofisini je?
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  kaka we ni mdau nini -- hii info ni nyeti sana ww umejuaje?
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280

  Hapo sasa !
   
 4. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 631
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 80
  Tuletee hizo takwimu zako,
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mtaani siyo malaya ?
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sio kweli...viingereza vile?? MY MILK IS STANDING!!
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaah....kinachomchanganya huyu ni Kiingereza chao!!
   
 8. m

  mjinga JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mada nyingine zinakera
   
 9. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  je wewe ni msomi?
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hawajui siku hizi wanaenda english kozi wakiwalenga wageni wasiojua kiswahili? nao wana mabadiliko ati!
   
 11. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mkuu yonjolo
  nenda kamuulize baba mzazi kabvla ya kumpata mama aliwapitia wangapi utajua kumbe sio wasomi tu hata wale nao walikuwemo lakini wamo
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe mtu kuongea na wewe lugha ya kiingereza ndio unaona amesoma? Kumbuka wengine hiyo ni lugha yake tangu utotoni, haihusiani na shule yake. Lakini ni msomi gani huyu? ......TAKE ME, MY MILK IS STANDING, DOWN THERE IS DRY!!!!!!
   
 13. Ndi.Wa.Nkaka

  Ndi.Wa.Nkaka Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Definition ya "Uchangudoa" inabidi itafutwe upya... Maana maofisini (kwenye elite class) kuna zaidi ya uchangudoa!
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Maofisi yana elite classes?
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  viingereza vyao kwakweli ni matatizo, rafiki yangu wa kigeni alienda kumnunua mmoja wakati wanaongea yule binti akasema 'you hit me' akimaanisha 'you heard me', rafiki yangu mgeni alikasirika sana akataka amdunde ngumi maana alikuwa tayari ameshapata mbili tatu, akaanza kulalamika kuwa kahaba anamsingizia kampiga wakati hata hajamgusa! hao ndo unasema wasomi? Wengine ni hulka yao tu hasa videnti vya darisalama, wengi wao wale wa vyuo vyuo ni vikahaba vizuri tu, so wakati anasubiria ajira pengine inabidi aweke mashine sokoni ili kusurvive
   
 16. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani acheni kututusi! nyie mkiamua kukaa majumbani mwenu unadhani hao mnaowaita vyangudoa nani atawanunua??
   
 17. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red:Na pia boom likichelewa na pia wakiwa likizo na field wanakuwa hawana chapa kwa hiyo lamazima mashine iuzwe wapate chochote ili waishi.IFM ndo namba moja.
   
 18. Yonjolo

  Yonjolo Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo kwenye tetesi mkuu
   
 19. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na wateja wakubwa ni wasomi
   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwanamume yeyeto Duniani hapendi changudoa hila pa kujistili kula naye naniiiii ndio anaona haibu, kama wote humu mungeondoa aibu muliyonayo mungewavamia kama mpira wa kona, kama wewe unabishi mbona ukipita pake unasimamisha gari au ukimwona pale Kona Bar unameza mate, wasingekuwa wezi yalaaaaaaaaaahha mungewaoa kwa muda!!?
   
Loading...