Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Jan 14, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono maana mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu sasa brake accelerator angewezaje kuzikanyaga au ilikuwa LHD? ni risk sana kuendesha gari kwa mtu ambaye ni physically challenged in udadisi tu
   
 2. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  RIP regia mtema.
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo karopoka nini?na upuuzi wake ni upi?Naamini majibu ya swali lake ni muhimu sana.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dada wa watu hata siku haijapita tangu aage dunia tayari mshaanza maneno.
  Let her be.
   
 5. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Bigirita mbona unamjia juu jamaa, ni swali ambalo pengine wengi wanajiluza, kama una jibu mweleze tafadhali.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Focus on what the late was capable to do and not limitation!
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Itakuwa ni kebehi hata kama alikuwaje Tuyaache haya ,yameshatokea!
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu kuna magari automatic special kwa vilema nadhani hata hiyo gari yake ilikuwa hivyoo sawa mkuu..
   
 9. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Anayejua atusaidie jibu la swala alouliza Kayagila
   
 10. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  msamehe bure...Eneo la ruvu hadi chalinze barabara sio that much friendly,kama mtu anaendesha kwa 80km/H+,ni eneo lenye barabara mbaya sana inahitaji uangalifu wa hali ya juu sana.
  I can imagine the problem faced if she was a bit speedy...R.I.P Regia
   
 11. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yatosha kusema Mungu amuweke mahali panapomstahili.
   
 12. F

  Fahari omarsaid Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hakuna jawabu
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mkuu, swali la huyu bwana ni la kijinga na la maudhi at this perticular time. Anisamehe kama nimemkwaza, kwa bahati mbaya wengine wetu kifo chake kimetugusa kiasi ambacho discusion ya namna hii inaweza ikapelekea kichapo kama angekuwa karibu.
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  gari hii hapa  [​IMG]
   
 15. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  SWali la msingi japo nadhani timing sio njema.
  OTIS
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii thread naomba ifungwe kwa sasa, it is too early to start the nitty gritty discusions

  please mods
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kayagila:

  Hakika jibu lako ni sahihi sana upate jibu.

  Piga kimya jibu litakuja hapa hapa JF!
   
 18. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  hilo swali ukawaulize polisi wanaochunguza kifo chake sisi hapa bado tuko kwenye maombolezo
   
 19. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pamoja na majonzi tuliyonayo,,mleta thread kauliza kitu tangible tu,,kwa maana ya kujua zaidi, sidhani kuna sababu ya kumshambulia kama alivofanya Bigirita
   
 20. m

  mams JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wengi wanajiuliza hicho kitu, lakini siyo wakati wake sasa hivi hususani kama una vi element vya ubinadamu.

  Ninachojua, unapo overtake na kuirudia site yako na endapo barabara ikawa na katuta ktkt ukikanyaga breake gari ina kosa mwerekeao. Ajali kama hizo ziko sana pale unapoingia Mikumi ukitokea Iyovi na mwezi jana niliona hapo round about ya Badari kuelekea Mbagara.

  Turudi kwenye topic yetu, Hii ni mipango ya Mungu na yeye iMuumba wetu imempedeza kuwa hivyo na tumuombee RM RIP.
   
Loading...