Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilikuwa naangalia mlimani tv, watu zaidi ya 200 wamekamatwa na jeshi la polisi katika eneo la kariakoo kwa kosa la uzembe na uzururaji. Muda mrefu sijasikia watu wakikamatwa kwa makosa ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
HATA MAGAMBA WENYEWE MMEPOOZA?MPENI UZITO MZEE YULE SI ALIKUWA WAZIRI JAMANI EEEEHH MSIFANYE HIVYO NIMESIKIA SPIKA ANAFIKIRIA JUU YA KUAGWA KWA SUMARI KAMA WAMUAGIE KARIMJEE AU POPOTE JAMANI AU...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi ya Watanzania wote,hata kama kasungura ni kadogo basi tugawane wote sawa,hayo ndo makuzi na malezi tuliyolelewa.Viongozi walikuwa na dhamira ya kweli katika kuwatumikia wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Prof Rwekaza Mukandala amempoteza mama yake mzazi. Msiba upo Chuo Kikuu na kesho saa mbili asubuhi kutakuwa na misa ya kumuombea marehemu katika kanisa la Chuo Kikuu. Tuweke siasa pembeni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Haijanitokea lakini kwa kuwa imemtokea myu aliyenipa ushuhuda wote nimeona si haba kuwajuza wanajamvi la kama ilishajuzwa si vibaya kukumbushana mintaarafu kuna wanachama wapya kila uchao Ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata mtuhumiwa mmoja wa kosa la wizi wa nyaya za shirika la umeme Tanzania (Tanesco) mita 900. Kamanda wa kada hiyo, Suleiman Kova, alisema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwann tusipimiwe ardhi tumiliki? Mafuriko na overcrowding,conflicts na kero zingine zitapungua tukiwa na hati miliki ya ardhi.Ina maana serikali haitaki tujikwamue na matatizo yanayotukabili?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kutapat updates, hivi mgogoro wa serikali na MAT umeishia wapi? Nakumbuka Dr. Nkya alitaoa tamko kwa niaba ya serikali na madaktari nao wakaja na madai yao(mengine mapya), nikasikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania ni wajuzi sana wa mambo, na tunapenda sana kupiga porojo, too much talking but less or no action! Kama ikitokea Rais akamiliki kampuni au makampuni ya biashara ina maana ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MTAZAMO WANGU TUU SIJUI WADAU MNAONAJE,KAMA SISI NI NCHI MOJA NA ZANZIBARI IMETAWALIWA NA WAZANZIBARI TUU SINCE THEN NAFIKIRI NIWAKATI SASA WATANZANIA BARA KUPEWA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
A,alaykum. Nawatakia ijumaa njema. Wanajamvi wenzangu wote na Watanzania kwa ujumla. M/MUNGU Atujaalie kila la kheri na mafanikio katika maisha yetu ya duniani na Akhera. Atuondoshee balaa, nuksi...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Amani iwe kwenu wana Jf wote. Kilio changu leo nakirudisha kwetu wenyewe watz kuhusiana na hali ya maisha yetu kuzidi kuwa mbaya. Tukiangalia swala la umeme lipo wazi hakuna mtanzania anayepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii kauli nimeamua kuisema kutokana na michango ya viongozi mbalimbali hapa duniani ambao wamekufa na kauli zao bado zipo hai,na pia viongozi hai ambao kauli zao ni za kuua Mataifa yao na zisizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Duh!! kweli kashata za Ikulu tamu maana NCCR walipanga kuandamana kupinga kupanda kwa bei ya umeme, Baba Riz akaona isiwe inshu hawa wana hamu na kashata akawaambia wakamuone Ikulu wakaahirisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nchi yetu haina vita vya mtutu lakini udhaifu wa serikali unaifanya nchi inakuwa si salama na madhara wananchi wanayopata hayana tofauti na vita vya mtutu tu. huwezi amini, maziwa ya watoto...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki Serikali imetoa siku 14 kwa wakazi waliorudi katika maeneo ya mabondeni jijini Dar es Salaam baada ya kukimbia makazi yao kutokana na mafuriko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimepata nafasi kuhudhuria msiba hapa nyumbani kwa Jeremia Sumari. Kama ilivyo kwa Regia, hapa kwa Sumari ni vivyo hivyo, viongozi wa vyama vya upinzani wameungana na viongozi wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Picha Kushoto: Msafara wa naibu waziri wa tamisemi Aggrey Mwanri ukipita eneo ambalo wanafunzi walikuwa wakilima Picha Kulia: Mwalimu wa shule ya msingi Luilo kata ya Lifua wilaya ya Ludewa...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Kwa mara nyingine tena sie wenyeving'amuzi tutashuhudia kombe la mataifa ya africa live kupitia Startimes chanells UBC or KBC. heko!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi poleni kwa majukumu ya wiki nzima mpaka leo tunaianza wkend,naamini kwa wengine wkend huwa ndefu sana na wakati mwingine pia ikionekana ni fupi kupita maelezo kwa baadhi yetu..yote kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…