Rais kumiliki kampuni si dhambi, si ufisadi na si kuvunja katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kumiliki kampuni si dhambi, si ufisadi na si kuvunja katiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Jan 21, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watanzania ni wajuzi sana wa mambo, na tunapenda sana kupiga porojo, too much talking but less or no action!

  Kama ikitokea Rais akamiliki kampuni au makampuni ya biashara ina maana ni hardworking, na ni nani asiyetaka kuendelea kimaisha? Lakini watu wataanza kupiga kelele za ufisadi.... ufisadi.... ufisadi....

  Mimi namiliki kampuni kadhaa na hata nikiwa Rais nitaendelea kumiliki biashara zangu tena kwa mafanikio makubwa zaidi, na watoto wangu nawasomesha vizuri, so na wao wakiwa wafanyabiashara maarufu mtapiga kelele oooh watoto wa Rais mafisadi, oooh watoto wa Rais hivi....

  Msibweteke jamani, kazeni buti kwa maendeleo yenu binafsi na ya Taifa zima.
   
Loading...