Prof Mukandala amefiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Mukandala amefiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chupaku, Jan 20, 2012.

 1. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Prof Rwekaza Mukandala amempoteza mama yake mzazi. Msiba upo Chuo Kikuu na kesho saa mbili asubuhi kutakuwa na misa ya kumuombea marehemu katika kanisa la Chuo Kikuu.

  Tuweke siasa pembeni tuungane nao kuwapa pole na faraja katika kipindi hiki kigumu.

  Pole Prof Mukandala na familia yako.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,586
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Jamani mungu si angemchukua tu huyo baba na kumwacha huyo bibi tule nae maisha
  loh
  rip bibi
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu mwezi wa 12 mwishoni nilimuona yupo na mkewe hospitali moja hv kubwa kumbe walikua wanamuuguza ndugu yao,poleni
   
 4. B

  Bakeza JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Lingekufa lenyewe kuliko huyo bibi wa watu maskin. RIP bibi ila ulituzalia mtu wa ajabu sana
   
 5. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160

  Bibi alikua mzee sana. Mwache alale bwana. Mukandala bado anahitajika sana kutumikia wananchi.
   
 6. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Uongozi si jambo rahisi hasa wa vyuo vikuu. Hata ukipewa wewe ni kiti moto.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  pole sana MUkandala
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  poleni the Mukandalas...
   
 9. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What the hell is Mukandala!
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  R.i.p mama
   
 11. l

  lily JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu mukabdala kampeleka mwanae kusoma Europe, na mapesa ya chuo! yaani garama ya chuo ni karibia miliion 2 kwa mwaka, jamani halafu toto lake haliko brain kivileeeeeeeee. RIP BIBI
   
 12. m

  mhondo JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kama nı karıbıa mılıonı 2 kwa mwaka kwa nje mbona nı kıdogo sana.
   
 13. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mwananchi yupi labda wewe anatakiwa afe yeye sasa mbwa mwitu huyo mavi ya kuku bibi rip. Umetuachia laana eeemungu mchukue na huyu.
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  angekufa yeye
   
 15. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  pole na wewe, umepata mkopo nini au mwanao afe yeye sasa rip bibi.
   
 16. c

  cr9 Senior Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  inna lillah wa inna illaihi rajium
  mungu ametoa na mungu ametwaa
  upumzike mahala pema peponi bibi

  pole profesa na familia kwa kuondokewa na bibi
   
 17. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni ngo'mbe flani inajifanya kama chuo ni chake na ccm anau maku wa hali ya juu amelaaniwa f. Him is a dog . Oh god ungemchukua huyu ukatuachia bibi, anatutesa sana laana kum. Afe yeye sasa kufa kufa kufa mkandala kufa ni wakati wako kufa. Shetani we kufa huna msaada kwetu
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Pumzika bibi ila ulituzalia jitu la hovyo sana
   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kufeni wote. Laana nyie.
   
 20. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana Prof.
  OTIS
   
Loading...