Sakata la Serikali na Madaktari limeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Serikali na Madaktari limeishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bi. Kiroboto, Jan 21, 2012.

 1. Bi. Kiroboto

  Bi. Kiroboto Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kutapat updates, hivi mgogoro wa serikali na MAT umeishia wapi?
  Nakumbuka Dr. Nkya alitaoa tamko kwa niaba ya serikali na madaktari nao wakaja na madai yao(mengine mapya), nikasikia pia kwamba Waziri amekacha kukutana na MAT.

  Kwa kuwa najua jf ni kila kitu, natarajia watu walioko karibu na wahusika wa sakata hili watakuja kutupatia updates humu.
   
Loading...