Jamani leo nilienda
bank kuweka vijisenti
mbuzi vyangu pale exim tawi la ubungo,
nilipigwa butwaa kukuta account yangu
imefungwa eti ilikuwa
haitumiki wakt mara ya mwisho kuweka
vijisent...
:A S embarassed:Jamani jana usiku nilikatiza katika kituo kipya cha mabasi kilichojengwa mbezi mwisho. Ilibidi nisimame kama dakika kumi hivi kutafakari kwa kile nilichokuwa nakiona. TAA...
Wanabodi,
Nadhani ni Tanzania tu ambapo total package ya mfanyakazi wa serikali ni kubwa kuliko mfanyakazi wa private; ukilinganisha kwenye level zinazoshabihiana.
Wabunge hasa wale "energetic" wawe wa magwanda au magwada itapendeza tukiona mnafanya na tunajua ratiba zenu za mambo kama hawa wenzenuu wa majuu wanavyofanya........ Nime google mifano...
Nimejikuta nashangaa kuwa shughuli karibu zote za Bunge la Jamhuri huedeshewa D'Salaam na wahesiwa karibu wote wanakuwa Dar isipokuwa wakati wa vikao vya bunge.Hivi ni kwa nini basi waliamua...
Ooooh my dia poor Arsenal,.jamani tukio la arsenal kubadilisha mchezaji dk ya 75 mimi nmelifananisha na kutoa kuni kavu na inayowaka na kuweka mbichi jikoni na huu ni ushabiki wa upenzi wa Wenger...
. Wauza matunda , wenye maduka,mabucha na karibu kila biashara mifuko ya plastiki inatumika. Mifuko hii ambayo haiozi inaharibu ardhi na mazingira kwa ujumla. Angalia kwenye mitaro , mifereji na...
Kiukweli nimekubali maneno ya raisi aliyepita aliposema "waandishi wa habari wa kitanzania uwezo wao mdogo sana kuhojiana na mimi". Hii nimekubali pale tu nilipo gundua kuwa waandishi wa habari...
Mara kadhaa tumeshuhudia makundi mbalimbali ya watumishi wa umma yakiingia mgogoro ma Serkali kubwa likiwa ni maslahi.
Nitumie nafasi hii kuongelea MADAKTARI na WALIMU. migoggo ya makundi haya...
magreda yamejaa wanairekebisha barabara si unajua kesho wakubwa wengi watakuepo kuja kumzika..ndo ivyo hii ndo tz mpaka kuepo na tukio ndo uone maendeleo
Heshima zenu wakuu!
Ninahitaji kuwasiliana na NGO moja inaitwa TATEDO (Tanzanian Traditional Energy Development and Environment Organisation). Nimecheki website yao kuna namba za simu tu...
POLISI mkoani Shinyanga, wamewatia mbaroni watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha ambazo wangezitumia katika kufanya uhalifu katika maeneo ya Wilaya za Kahama na Bukombe...
ndugu zangu naomaba tujadili hili suala maana kila siku zinavyo zidi kwenda naona chuki ya udini inajengeka katika taifa hili.
Waislamu na wakristo kwa miaka mingi tumekuwa tukivumiliana na...
Ilikuwa siku ya shauku kubwa kwa wanafunz wa chuo cha mtakatifu Augustino na wenzao chuo cha afya Bugando,kuangalia mtanange wa mpira wa miguu katika kiwanja cha raila odinga,shauku hiyo ilizimwa...
Haya maneno yalisemwa na katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu jana (ijumaa) wakati alipokutana na uongozi wa MAT(Chama cha madaktari) wakijadili namna ya kutatua kero za madaktari nchini. Nanukuu...
Nipo safarini kwenda mlandizi,ila maeneo ya MADAFU basi la Tahmeed limepata ajali baada ya kugongana na toyota pickup,na semitrailer,
trafiki ndo anachukua maelezo na kupimapima,hakuna mtu aliyekufa
NAHODHA FANYA KAZI ILA USISIKILIZE MAJUNGU
Kwa hivi karibuni waziri wa mambo ya ndani ya Nchi MHE Shamsi Vuai Nahodha ameamua kuimrika idara ya uhamiaji nchini kwa kiasi kikubwa na kulingana na...
Ugonjwa huu umezuka tena na huko Bangladesh kijana wa miaka 29 amukufa jana na mwanamama mmoja amefariki huko Oman. Ulaya wameanza kupiga marufuku uagizaji nyama kutoka Afrika na Asia. Nimesikia...