Huu ni ushahidi:Arsenal wenger ni shabiki na mpenzi mkubwa wa Man U!.

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Ooooh my dia poor Arsenal,.jamani tukio la arsenal kubadilisha mchezaji dk ya 75 mimi nmelifananisha na kutoa kuni kavu na inayowaka na kuweka mbichi jikoni na huu ni ushabiki wa upenzi wa Wenger kwa man U.
 
Mkuu mi nilishavuta shuka baada ya goli la pili tu, nikapata homa... hata sielewi pride ya arsenal fc iko wapi cku izi
 
Wenga ni fal@ pia Mpumbavu.
Naamini yule ni agent wa Man-U kisirisiri.
Oxlade Chamber alikua anakuja vizuri tu kipindi cha pili, na ndie alietengeneza Bao la Van-Persie.
But yule babu Mpumbavu akamtoa ili aingie Arshavin.
Yaani ni sawa na kwenye Ugomvi unatupa Panga ili utegemee mbio.
Mtu wa kupiga benchi pale alikua ni Walcot, pale bana M'baya wetu ni Babu tu.
 
407035_10150503638288907_548163906_9075172_1079860909_n.jpg

he he he.....
 
arsenal ni janga,c mnakumbuka kenya m2 alinyonga kisa arsenal kufungwa?,basi leo kuna mdada kazimia,.
 
Wenger alikuwa anavizia droo. Arshavin aliagizwa aende pale kuongeza ulinzi. Well, at least haikuwa 8 kwa 2!!
 
arsenal ni janga,c mnakumbuka kenya m2 alinyonga kisa arsenal kufungwa?,basi leo kuna mdada kazimia,.

Huo ni ujinga; mimi ni shabiki wa Arsenal lakini siwezi kutothamini maisha yangu kwa ajili ya ushabiki tu wa mpira. Kwani bila kuwa na 'the Gunners', dunia itasimama?
 
Ooooh my dia poor Arsenal,.jamani tukio la arsenal kubadilisha mchezaji dk ya 75 mimi nmelifananisha na kutoa kuni kavu na inayowaka na kuweka mbichi jikoni na huu ni ushabiki wa upenzi wa Wenger kwa man U.

Kila binadamu unena yaujazayo moyo wake, huo ni mtazamo wako. Mbona wakati mwingine substitute hufanyika dakika tatu kabla ya game kuisha?
 
Kila binadamu unena yaujazayo moyo wake, huo ni mtazamo wako. Mbona wakati mwingine substitute hufanyika dakika tatu kabla ya game kuisha?[/QU UMESOMA POST UKAIELEWA VZUR?,RUDIA TENA KUSOMA NA USIKURUPUKE TENA KUJIBU JIBU TU
 
Chamberlain ni mtoto na kumbukeni arshavin ana uzoefu na ni nahodha wa timu ya taifa ya urusi na hata chamberlain asingetoka ingewezekana kutoa boko!!!nna uzoefu wa mda mrefu kufanya sub!!!!!!!siyo maneno yangu ni babu wenger!
 
hata Van Persie alimpigia kelele Wenger kwa kitendo chake cha kufanya sub ya kijinga achilia mbali mashabiki waliomzomea kabisa.Huyu babu anazeeka vibaya sana.
 
jamaani yeye ndo kocha mwacheni afanye kazi yake namnukuuu
"He was sick during the week. You have an 18-year-old kid making his first Premier League start and a player who's captain of his country and they are querying the substitution? Let's be serious.
"I've been a manager for 30 years and have made 50,000 subs. I do not have to justify every decision I make. I stand up for it.
 
Hongereni Arsenal kwa kupunguza idadi ya mabao! kutoka 8 hadi kupigwa 2 mmeimprove sana .Big up Wenger
 
Chamberlain ni mtoto na kumbukeni arshavin ana uzoefu na ni nahodha wa timu ya taifa ya urusi na hata chamberlain asingetoka ingewezekana kutoa boko!!!nna uzoefu wa mda mrefu kufanya sub!!!!!!!siyo maneno yangu ni babu wenger!

Amesema ana uzoefu wa kufundisha kwa miaka 30 na kaisha fanya sub zaidi ya 50,000. Kwa hiyo anajua anachokifanya
 
Back
Top Bottom