Exclusively Tanzanian: Total package of public employee is far higher than private employee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Exclusively Tanzanian: Total package of public employee is far higher than private employee

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kasheshe, Jan 23, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wanabodi,

  Nadhani ni Tanzania tu ambapo total package ya mfanyakazi wa serikali ni kubwa kuliko mfanyakazi wa private; ukilinganisha kwenye level zinazoshabihiana.
   
 2. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe unataka iweje?
   
 3. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Mkuu hueleweki
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  The fact that umesema hujaelewa, already umeelewa!!!
   
 5. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hata mimi sijaelewa
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  unazungumzia hawa wafanyakazi wa serikali? wanaolipwa laki mbili na nusu au?
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  hao hao ndugu. kuna vioja sana duniani, hasa tanzania
   
 8. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Ni kweli nimeelewa kuwa hujaeleweka mkuu. Fafanua hoja yako acha ubabaishaji
   
 9. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kawaida watu huwa hawapendi kufanya serkalini sababu mishahara na mafao mengine yanakuwa ni pungufu sana. Lakini Tanzania ni kinyume chake. Watu wanapenda kufanya kazi serkalini sababu zaidi ya mishahara mikubwa na mafao mazuri, pia ndiyo chanzo cha kujipatia bakhshish toka kwa wananchi wenye shida.
   
 10. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zamani watu walikuwa wakichukia apointments za serkalini. Mishahara ilikuwa ni midogo na zaidi ya huduma za afya bure kwenye hosp. za serkali ambako siku zote hamna dawa, ulikuwa ukichelewa mara kwa mara una achishwa na hata ukisingiziwa kupokea rushwa basi ni balaa la kutangazwa magazitini. Leo ni kwamba, serkalini mishahara ni juu, ukikosa una ndugu(godfather) wa kukutetea, ukijulikana unapokea rushwa basi ni freind wa boss sababu utamtafutia pesa za kitoweo kila siku(mradi)
   
 11. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Nilidhani Mimi tu ndiye ninakichwa cha Panzi. Yaani Kuna Watu Wanapost Utafikiri tuna share nao ubongo.
   
 12. Julz

  Julz Senior Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani hapa mtoa hoja angeweka na mifano kadhaa ili kuprove point yake....mi naamini huwezi kulinganisha mshahara wa mwanasheria/wakili wa IMMMA Advocates na wa ule wa mwanasheria/wakili wa serikalini.
   
 13. zagalo

  zagalo Senior Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  100% pumba
   
 14. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Please provide evidence na toa figure halisi kuonyesha hiyo tofati ya packages
   
Loading...