Kumbe ofisi za bunge Dodoma zinaendeshewa Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ofisi za bunge Dodoma zinaendeshewa Dar?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Jan 20, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  Nimejikuta nashangaa kuwa shughuli karibu zote za Bunge la Jamhuri huedeshewa D'Salaam na wahesiwa karibu wote wanakuwa Dar isipokuwa wakati wa vikao vya bunge.Hivi ni kwa nini basi waliamua kwenda kujenga kwa gharama kubwa huko Dodoma badala ya Dar na wakati wa vikao waheshimiwa wanalalamika posho haitoshi?
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  dar ni ofisi ndogo ya bunge
  kubwa ni dodoma
  sasa unashangaa nn unadhani serikali itahamia dodoma kweli ama siasa tu za nyerere?
   
 3. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  vidumu vyama vya CCM NA CDM......
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Wewe inaonekana hata hujui kama Bunge lilikuwaga Kalimjee Hall.
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ganja bana
   
 6. N

  Nguto JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  We uko wapi?
   
 7. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Dodoma ni sehemu ya kuchukulia posho za mpigo.
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  kwa nini wasihamie jumla huko?
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  Hujui usemalo.Pole sana.Join date?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  hili ndio neno mkuu
   
Loading...