Taa za barabarani - katika kituo kipya cha mabasi cha mbezi mwisho dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taa za barabarani - katika kituo kipya cha mabasi cha mbezi mwisho dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maarifa, Jan 23, 2012.

 1. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  :A S embarassed:Jamani jana usiku nilikatiza katika kituo kipya cha mabasi kilichojengwa mbezi mwisho. Ilibidi nisimame kama dakika kumi hivi kutafakari kwa kile nilichokuwa nakiona. TAA zilizowekwa ni za barabarani NJANO ISIYONG'AAA!!! Mimi sio mhandisi lakini haichukui dakika moja kubaini uozo wa kupanga na luchagua. Iweje wahandisi waliosimamia ujenzi wa kituo kukubali kuwekwa taa hafiifu ili hali kituo cha mabasi kinafanya kwazi kuanzia alfajiri sana na usiku wa manane? Inatia aibu na kinyaa sana. Ni kwa nini wasiweke taa za kunga'aa tena siku hizi zipo poa za save energy. Jamani wadau pigieni kelele uozo huu!! Zile taa tunazihitaji barabarani na sio katika mkusanyiko wa watu wengi kama kiituo cha mabasi!! nawasilisha.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Hizo zinaitwa SNOW LIGHTS na snow itamwagiga Dar es Salaam siku si nyingi
   
 3. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  lini mkuu hizo SNOW zitamwagika nianze kujipanga nihame lini huku jijini?
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Ngoja niwasiliane na wale walituambia mvua za mafuriko zitaendelea kwa siku saba.....na hazikuendelea
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Unajuaje kama mwanga hafifu haukutokana na umeme hafifu?, fuatilia utupe majibu.
   
 6. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Taa lukuki lakini, mwanga zero!
  Very valid observation.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Choo walishajenga?

  [​IMG][​IMG]
   
 8. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wewe siulikuwa ndan ya gari??
  Ambayo vioo vyake vina tinted??
   
Loading...