After slave trade now sex trade

Hii inatisha!

Lakini tukifikiri wakulaumiwa mbali na hao "Wazungu" ni sisi wenyewe. Unaona mtoto mdogo unamruhusu vipi kuingia kwenye club yako? Vyombo vya sheria viko wapi?
 
Haya mambo bila kuyafanyia adhabu ya kifo yanakera sana. Ukienda Ratin America ndio usiombe. wasichana wadogowadogo chini ya miaka 16 hutoroshwa na majumbani mwao na kulazimishwa kufanya biashara ya ngono! Huko Ratin america, kuna sehemu maalumu kila baharini watu huogerea uchi wa mnyama, wanawake kwa wanaume bila haibu! Ugonjwa wa kulalal na wasichana wadogo upo sana hapa duniani, hata marehemu Pablo Escobar alikuwa addicted, sijui hapa bongo umeisha ingia au vipi, akini ni kitu kibaya sana wasichana wa miaka 16 kubokolewa na mijitu ya miaka 56 mpaka 70!
 
Haikibaliki kuharibu namna hii!!!
 
Unamaanisha Ratin America au Latin America
Ila nadhani lugha sahihi ni South America.
 
Back
Top Bottom