Haya ndio majibu ya Serikali kwa madaktari!...Inahuzunisha sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndio majibu ya Serikali kwa madaktari!...Inahuzunisha sana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SirBonge, Jan 21, 2012.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  [h=6]Haya maneno yalisemwa na katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu jana (ijumaa) wakati alipokutana na uongozi wa MAT(Chama cha madaktari) wakijadili namna ya kutatua kero za madaktari nchini. Nanukuu;

  " Nawashangaa sana nyie madaktari mambo mnayofanyiana, yaani hampendani kabisa,
  hamna confidence na hata mkiweka tools down haitowasaidia! "

  [/h] "Nilifaulu PCB,lakini kwa kutambua ubovu wa MEDICINE mzazi wangu akanisomesha
  ACCOUNTS,sasa sijui mnalalamikia nini!, mlichagua wenyewe"

  Huyu ndio kiongozi tunaotegemea atatue kero za wananchi, Kwa staili hii jamani kweli madaktari wakigoma watakuwa wamekosea? Tujadili!   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Is this serious au naota?Ngoja nitafakari,nitarudi baadaye
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  najiuliza hvohvo,aliyasemea wapi?
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  'wewe umenukuuu ulikuepo au umenukuu waliponukuuu na kunukuu tena'

  sidhan kama aliongea kitu kama hicho.
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wao wanahaki ya kusema hivyo, wakiugua wanarushwa Apollo India, Sisi walalahoi ndio tutakaotaabika na ndio maana Serikali ya Mchovu Kikwete haijali maslai ya Watanganyika. Katiba mpya ni muhimu ilikupunguza kazi za ushikaji kama za M k were
   
 7. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Braza subiri jumatatu kitakachoaziwa Don Bosco ndo utaamini!
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hawa tunaowaita viongozi hapa Tanganyika, vichwa vyao vyote hovyo kama ilivyo Serikali ya Kikwete kila idara hovyo hovyo, sijui wamesomea kwenye shule za Kata ndio wanakuja na majibu ya dharau na kuonyesha upeo wao mdogo wa kufiri, Nina wasiwasi na hawa wachovu huwa wanatumia masaburi kufikri kabla ya kujibu hoja.
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mkuu haya maneno yamerecordiwa au?isije ikawa mnamsingizia huyo katibu mkuu wa MP
   
 10. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Madaktari wa Tanzania, Jifunzeni kwa wenzenu wa Kenya.
   
 11. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
   
 12. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hapo umenena. Kenya walikuwa na very good strategy, hapa bongo ubabe zaidi unatumika.
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Hawaoni umuhimu wa madaktari wa tz hawaoni maumivu makali wayapatayo wagonjwa maskini wa tanzania. Amini usiamini kama wangepokea habari ya mgomo wa madaktari huko Apollo hata huyo blandina angeshtuka sana.
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama katibu mkuu wa PM amesomea ACCOUNTS; nadhani you are quoting the wrong guy!!
   
 15. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ina maana madaktari na usomi wao wote,wakaendelea kumsikiliza huyu katibu??
  Mh!!!!
   
 16. driller

  driller JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hapo ndipo tunapoona umuhimu wa serikali mpya yenye madaraka tofauti na magamba..... kilichobaki hapo hakuna kabisa ni kufukuzia mbali serikali iliyopo madarakani.. kama haioni umuhimu wa wataalamu unadhani maendeleo yatakujaje...? huyo mama hana busara kwakweli..!
   
 17. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mkuu nimeshindwa kucomment kitu kwa sababu nimeogopa hii avator yako kafanye operation kwanza mkuu mimi nimeogopa
   
 18. N

  Ndole JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahaaaa sasa akafanyie wapi hiyo operation wakati madaktari wenyewe ndo hao wanaendelea kuvutana na serikali????
   
 19. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kweli kasomea ACCOUNTS na ana CPA....
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Mi ni mtu mdogo sana ila nawashauri madaktari wote wekeni zana chini wote ili mpate heshima.
   
Loading...