tanzania inaweza kusambaratika kwasababu ya udini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tanzania inaweza kusambaratika kwasababu ya udini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by elmagnifico, Jan 22, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  ndugu zangu naomaba tujadili hili suala maana kila siku zinavyo zidi kwenda naona chuki ya udini inajengeka katika taifa hili.
  Waislamu na wakristo kwa miaka mingi tumekuwa tukivumiliana na tumeishi kwa amani lakini naona hivi sasa uvumilivu huo umepotea. Waislamu watapinga jambo lolote lisemwalo na wakristo hata kama jambo hilo wanaona kuna faida na ukweli flani.
  Wakristo watapinga jambo lolote lisemwalo na waislamu hata kama jambo hilo lina faida na ukweli.
  Siasa sasa imekuwa ya udini chadema waislam wengi wanadai ya wakristo na wakristo wengi wanadai cuf ni ya waislam achilia mbali ccm sijui iko upande gani.
  Uteuzi wa viongozi siku hizi watu hawaangalii aliye teuliwa kama ana sifa za kuwa kiongozi bali wanacho angalia je katoka dini gani?
  Nimekuwa nikisikia watu wakisema wizara flani imejaa waislam, mara idara flani imejaa wakristo.
  Tuliweza shinda ukabila sasa nina shaka kama tutaweza shinda udini ambao chuki zinazidi kukua siku hadi siku.
  Je tanzania inaweza sambaratika kwa udini?
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tunatakiwa kujifunza kutoka Lebanon. Kile kilichoipata Lebanon ndicho kitakachoipata Tanzania
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  CCM ni chama cha dini ya wanaolala makaburini kama unabisha muulize J.Gwajma.
   
 4. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  sijui kama serikali imelala au la, kuna vyombo vya habari vipo na vinamilikiwa na taasisi za Kiislam, wao hawana kazi nyingine zaidi ya kutangaza uchochezi dhidi ya Wakristo, mara utasikia tunaonewa na kanisa, mara wao wananufaika kuliko sisi, mara utasikia tumenyang'anywa shule zetu na ukiwauliza wataje hizo shule wako kimya. Vipi na radio za Kikristo zingekuwa zinatangaza kama RADIO imani, hali ingekuwaje. Kuna haja ya serikali kuingilia kati kuepusha maafa hapo baadae, maana mbegu za chuki zinapandwa kwa kasi sana ktk shamba la WATZ.

  Mnakumbuka kuna watu humu ndani JF hasa Muslims walienda mbali na kusema wao ndio walipaji wakubwa wa kodi. Lkn siku Waziri Mkuu Pinda alipotangaza kuwa wanaoongoza kulipa kodi ni walevi, hao jamaa walinyamaza kimya. wakaja na lingine kuwa wao eti ndio waasisi wa uhuru, Rais JK akataja walioasisi, baada ya kuona ni mchanganyiko wakanyamza kimya. Wengine wakaanza kujifaragua humu ndandani eti hata hivyo Mohamed Said kafanya kazi ya maana ya yaani kwa story zake za kijiweni pale Gerezani alizoamua kuzindikia kitabu na kupotosha umma wa WATZ kwa kutaka kuuaminisha kuwa bila ISLAM uhuru usingepatikana. Mungu kawaumbua mchana kweupe wabaguzi hao


  niliwahipost humu JF kuwa, wanaoshabikia udini hasa MUSLIMS wana agenda yao has ya kutugawa. NAMSHUKURU MUNGU HILI TUMELIJUA MAPEMA NA HALITAFANIKIWA. MUNGU IBARIKI TZ NA WATU WAKE
   
 5. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  ukichunguza sana utaona kuwa , tanzania iliingia katika kuchokozana kidini na kukashifiana , pale tuu tanzania ilipofungua ubalozi na serikali ya kiislamu ya Iran. Na sasa hivi nchi itaingia pabaya sana kutokana na waislamu wa misri kushinda uchaguzi. Iran ilijiingiza nchini mpaka vijijini na ikaweka radio propaganda pale mtaa wa mchikichi, lakini serikali ilikaa kimyaa!

  Utawala wa mwinyi ulikuwa mbaya sana na ulifikia kipindi mpaka mauaji ya mwembe chai yalitokea wakati serikali ilipotaka kuwakamata kina Ponda. ndio maana nasema heri muungano ufe kuliko kumpatia tena mzanzibari nchi awe raisi.
   
 6. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,498
  Likes Received: 4,510
  Trophy Points: 280

  shetani huyooooo kaanza
   
 7. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ila kuwepo ubalozi wa vatican ni sawa tu!!
   
 8. a

  abunura Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa dini,serikali na vyama vya siasawawe mstari wa mbele kwenye kutetea haki za watz na kuhakikisha udini au uchochezi wa ainayeyote ktk nchi yetu hautakiwi. Pili wafanyakazi serikalini waelimishwe nawatambue hili ni pia. Na sisi pia tuache chuki, uchochezi na dharau kwa dini zawenzetu
   
 9. a

  abunura Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia malalamiko ya waumini yasidharauliwe nayafanyiwe kazi.
   
Loading...