Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
Imepitwa na wakati¥$
Bwana wee.... na mpaka aende? Kwani hakuna mawasiliano na kigamboni?Huyo pumbavu naye ni apportunist! Yeye ndie kapitisha hiyo nauli mpya,how come now anajifanya anasympathize na wananchi?
Akiwepo physically inatia msisitizo na si unajua mambo ya kuuza sura nayo yapo kiaina.Bwana wee.... na mpaka aende? Kwani hakuna mawasiliano na kigamboni?
akiwepo physically inatia msisitizo na si unajua mambo ya kuuza sura nayo yapo kiaina.