Wabunge wetu fanyeni surgery kama hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu fanyeni surgery kama hizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zing, Jan 23, 2012.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wabunge hasa wale "energetic" wawe wa magwanda au magwada itapendeza tukiona mnafanya na tunajua ratiba zenu za mambo kama hawa wenzenuu wa majuu wanavyofanya........ Nime google mifano michache ya wabunge nikaon wanafanya kitu kinaitwa "Surgery". Tunaomba na wabunge wetu wa Tanzni muanze kfanya surgery kama hizi

  David Hanson

  Anne Begg MP

  Gerry Sutclifee MP

  Wabunge Misiwe busy sana na kazi za kamati za bunge mkawasahau. nadhani itapendeza kila mbunge kutenga siku moja kwa wiki japo masaa machache ya kukutana na watu ama ana kwa ana au hata kwa njia nyingine. Lakini ya ana kwa ana inapendeza zaidi na ratiba yenu ijuliikane lini na wapi mpo accesible kuwasikiliza wanachi.

  Hilo ni wazo . Wengine tunaoana wabunge hapa JF lakini kuna wapiga kura wengi hawajapata nafasi ya kuwasiliana nanyi. Wasaidieni na wawezesheni kuwafamisha jinsi mnavyopatikana.
  Msisubiri mpaka mtakapojisikia au mnaona na wapiga kura na usikiliza kero zao kwa bahati mabaya weye misibani na sherehe
   
Loading...