KAMPUNI YA TiGO UBADHILIFU WA KUTUPWA KWENYE UNIVERSITY BONANZA SASA WAMEUMBUKA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAMPUNI YA TiGO UBADHILIFU WA KUTUPWA KWENYE UNIVERSITY BONANZA SASA WAMEUMBUKA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Thinker96, Jan 22, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa siku ya shauku kubwa kwa wanafunz wa chuo cha mtakatifu Augustino na wenzao chuo cha afya Bugando,kuangalia mtanange wa mpira wa miguu katika kiwanja cha raila odinga,shauku hiyo ilizimwa baada ya kugundulika kuwa kuna sintofahamu imetanda ni pale kwenye ugawaji wa jezi timu moja ikapata nyinginge ikapata jez saba tu afu kwanza hazifanan na baada ya hapo mambo yakaanza wasomi si wakasema tunataka tuzione zawadi za mshindi wa kwanza na wa pili,tigo wawatu hawana kile walichoaid c wasomi c wakapanik ghafla wakachukua tisheti,kofia na line za tigo wakachoma mbele ya hao wafanyakaz wajinga kifikra...picha nitaziweka ya vitu vikichomwa
   
Loading...