barabara ya singisi kuelekea nyumbani kwa marehemu Mb sumari inatengenezwa usiku na mchana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

barabara ya singisi kuelekea nyumbani kwa marehemu Mb sumari inatengenezwa usiku na mchana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wizzo, Jan 22, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  magreda yamejaa wanairekebisha barabara si unajua kesho wakubwa wengi watakuepo kuja kumzika..ndo ivyo hii ndo tz mpaka kuepo na tukio ndo uone maendeleo
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Unanikumbusha harakati zinazofanyika wakati wa ujio wa mwenge huku vijijini!
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Magamba ndivyo yalivyo.......... Unafiki mtupu...........:alien:
   
 4. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  yeah..tanzania ndo inavyoongozwa hivyo.mbunge na alishakua naibu wa ziri barabara ya mtaani kwake ni kichekesho? Inauma sana.
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hii tabia ni maarufu sana hapa nchini, kwani wanaopita kwenye hiyo barabara kila siku sio watu? hao wanaokuja kupita kesho ndio watu? ingebidi waiache ili mkulu aone uhalisia! kuficha ficha ukweli wa mambo na mazingira halisi ndio kunatugharimu!
  "Ukiona barabara inakarabatiwa jua kikwete anakuja"......******!
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi ile barabara ni mkeka mzee mpaka pale kanisani akheri... Ajabu ni kuwa kuendelea kule juu haiparuzwi
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  RIP mzee sumari!!
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mpaka mbunge afe ndio watengeneze barabara?
   
 9. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Anyhow it does not mean anything, hata Kikwete anajua kuwa hiyo haimaanishi chochote ila unafiki. Tena anachukia sana kwa kuwa hawa jamaa hawafanyi kazi zao mpaka yeye aje. Schshiit!
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hapo ndo wananch wake wajue kuwa hawathaminiwi!
   
 11. T

  TUMY JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni tatizo karibu kila kona si huko peke yake, ila tutumie mambo hayo kujifunza pia.
  R.I.P Mzee Sumari.
   
 12. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani mmesahau?
  KUFA KUFAANA.
  Baada ya msiba tunabaki na barabara nzuri
   
 13. B

  Baba Dorcas Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo karibu mgen il wenyej 2pone na hil vumbi japo kwa muda tu! Duh, sjui nan kigogo afuate il waweke lami kabsa!
   
 14. B

  Baba Dorcas Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo karibu mgen il wenyej 2pone na hil vumbi japo kwa muda tu! Duh, sjui nan kigogo afuate wa huku Akeri il waweke lami kabsa!
   
 15. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Akifa fisadi papa yoyote wanaweza wakaweka lami..ina maana maendeleo mpaka matatizo yatokee?
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dah! Kweli wananchi wamechoka!
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Wazo la msingi sana Baba D, tena angefuata haraka kabla magreda hayajaondoka! Kuna mmoja namuwazia ila naogopa kuwa sheikh yahya,lol!
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hiyo inaitwa mgeni njoo mwenyeji apone! R.I.P Jeremiah Sumari
   
Loading...